Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.
Kwani huyo Flora aliondoka lini kwa mumewe? Tunajuaje kama alikuwa mjamzito? Nimeona kwenye gazeti ya Mtanzania akipinga kuwa picha ya mtoto.inayosambazwa siyo ya mwanawe.