Kinauche mkeo akienda kukaa kwamjomba wake!!akizaa utasema mwanae??? Akiwa Ana NDA safarizake unakuwaga nae??Mungu awaongoze msijepatalaana za wajukuu zenu!!!!Kwani huyo Flora aliondoka lini kwa mumewe? Tunajuaje kama alikuwa mjamzito? Nimeona kwenye gazeti ya Mtanzania akipinga kuwa picha ya mtoto.inayosambazwa siyo ya mwanawe.
Tito 1:7
Maana imempasa Askofu asiwe mtu wa kushutumiwa kwa LOLOTE kwa kuwa ni WAKILI wa Mungu
Mchungaji wangu Gwajima hali ndiyo imefikia hapo kweli?nikuulize swali ni kwa nini hasa ushutumiwe kwenye mambo kama hayo??????????hivi unafahamu historia ya hao watu wawili??unaonaje ukiheshimu kazi ya yule mzee wetu aliyetangulia kwa kuheshimu familia yake????halafu mbona yule mzee wetu aliyeheshimika sana kwa kazi iliyotukuka hakushutumiwa kwenye mambo kama hayo???mchungaji jiangalie upya
View attachment 224512
Jamaniee nasema neno moja tu!mtumishi wa Mungu yeyote hastahili kushutumiwa kwa lolote lile,asanteni
Kinauche mkeo akienda kukaa kwamjomba wake!!akizaa utasema mwanae??? Akiwa Ana NDA safarizake unakuwaga nae??Mungu awaongoze msijepatalaana za wajukuu zenu!!!!
Jamaniee nasema neno moja tu!mtumishi wa Mungu yeyote hastahili kushutumiwa kwa lolote lile,asanteni
Haka katoto kataleta mambo, hakafanani na Gwajima wala Mbasha. Kanafanana na naibu waziri wa fedha.
Frola ndo anajua dingi wa mtoto.
je ni wangapi humu wana uhakika wa watoto wao?
Dah! so sad, Flora anatuimbia nyimbo za Mungu kumbe ni mzinifu! aibu, kuanza leo siwaamini tena walokole.
Si vyema kudisplay picha ya mtoto asiyeweza kujitetea kwa lolote
watumbuizaji wa injili na wahubiri wanahubiri ili wapate pesa siku hizi