Naye ni msukuma?!Aliekwambia Gwajima ni mchungaji ni nani? Yule ni msanii kama walivyo wasanii wa mjini.Namaanisha tapeli ila sasa yeye Gwajima utapeli wake anatumia mazingaombwe ya kisukuma.Take care siku za mwisho hizi manabii wa uongo akina Gwajima ndio hao.
Aliekwambia Gwajima ni mchungaji ni nani? Yule ni msanii kama walivyo wasanii wa mjini.Namaanisha tapeli ila sasa yeye Gwajima utapeli wake anatumia mazingaombwe ya kisukuma.Take care siku za mwisho hizi manabii wa uongo akina Gwajima ndio hao.
Kamwe usipoteza muda na manabii wa uongo na dini za za mpitoTito 1:7
Maana imempasa Askofu asiwe mtu wa kushutumiwa kwa LOLOTE kwa kuwa ni WAKILI wa Mungu
Mchungaji wangu Gwajima hali ndiyo imefikia hapo kweli?nikuulize swali ni kwa nini hasa ushutumiwe kwenye mambo kama hayo??????????hivi unafahamu historia ya hao watu wawili??unaonaje ukiheshimu kazi ya yule mzee wetu aliyetangulia kwa kuheshimu familia yake????halafu mbona yule mzee wetu aliyeheshimika sana kwa kazi iliyotukuka hakushutumiwa kwenye mambo kama hayo???mchungaji jiangalie upya
View attachment 224512
Dah! so sad, Flora anatuimbia nyimbo za Mungu kumbe ni mzinifu! aibu, kuanza leo siwaamini tena walokole.
Jamii Forum ni ni kama Kokoro - linavua kila uchafu. Ila ningeomba waleta mada wawe waangalifu na mada wanazozileta hapa jukwaani.
1. Lengo la forrum ni kufundisha,kukosoa, kuelimisha kujenga. Tusipafanye kijiwe cha porojo za vijiweni na mihemko isiyojenga.
2. Mtu akiwa na bifu na mwanasiasa au mtu yeyote amepafanya JF ndipo pa kunolea makali ya panga zao za kukata shingo za unayetaka kukata
3. Iwe Lowassa, Gwajima au membe - tuwe watu wenye misimamo na viwango (Principles and Standards) maana tukiendelea kwa kasi hii, tutaishia kuwa kuwa watu wa hoja za vijiwe vya gahawa!
4. Ni vizuri tukawa watu wa kupima mada kwanza kabla ya kuileta mjengoni ijadiliwe! Tuepuke kujadili hisia - tujadili hoja!
Aiyyyyyaaaaaaaaaahhhhhh.........!!!!!!! wanapigana DUSHELELE :A S embarassed:Kweli kabisa, wanatujaza maimani makali mpaka tunachinjana wao wanapigana dushelele ah!
most of them are false prophetsDah! so sad, Flora anatuimbia nyimbo za Mungu kumbe ni mzinifu! aibu, kuanza leo siwaamini tena walokole.
Aiyyyyyaaaaaaaaaahhhhhh.........!!!!!!! wanapigana DUSHELELE :A S embarassed:
most of them are false prophets
Walokole wengi fake ingawa si wote, nimeona kwa macho yangu, jamaa wangu alikuwa hajaokoka kamgonga mama yake mdogo ambaye ni binti tu ambaye alikuwa mlokole, jamaa nae saivi kaokoka.
Mi kuna mmoja ananiandalia mazingira nimgonge aisee, mi namkwepa, naona kama alishayavaa mawaya vile! yani alichenj ghafla na kuzama baada ya kurudi toka sehemu za machimboni ambako aligawa sana uroda na sasa kajifanya kuokoka.