Naye ni msukuma?!
hizi post watu wanabeba kila kitu wanachokiona online ovyo ovyo tu.. Mleta mada umekaa ukafikiria kua kuna possibility mtu alikaa home akatafuta picha ya mtoto anayefanana na msela mdomo then akaipost hewani?? afu personal life la mtu sijui kwa nini ukae unalifuatilia, ukifatiliwa wewe sijui kama utatoka msafi..
Duuh kashakua ankali tenaa..... Haya pole flora lea kichanga chako mwaya weye sio wa kwanza kuchepuka na sio wa mwisho...hili nalo litapita
Jamaniee ni kwa nini mtumishi wa Mungu ahusishwe kweli skendo mbaya kiasi hicho?ni hivii mtumishi wa Mungu hapaswi kushutumiwa jamani!!ebu niambieni atawavunja wangapi nguvu za kusonga mbele na wokovu kama ndiyo hivyo????tukomae jamani ili neno la MUNGU lisitukanwe
Huogopi ban mkuu??
Teh Teh mtoto kafunga macho kama mtumishi
ukweli wa flora anaujua yeye mwenyewe na mungu wake.
Sorry mkuu kamasikukuelewa niliona unahalalisha huu upuuzi unaaoongelewa nikaona nikujulishe unajua flora na gwajima MTU namjomba!!!tukopamoja mkuuSamahani sana sijakuelewa kabisa. Lengo langu ni kwamba kwa kuwa mchungaji anatuhumiwa huku wote wakikataa dawa ni DNA. Sasa ni kwanini laana za wajukuu?