Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Aise wana jamvi hebu cheki sura ya mtoto na mzee gwajima majibu mbona yako wazi huyo demu wala uncle wazinifu tu.
 
Naye ni msukuma?!

Habari ndio hiyo.Si unajua misukule ni uchawi wa kisukuma? Sasa yeye ni mkurugenzi pale Gambosh njia ya kwenda Bariadi usiku yuko huko mchana yuko Tanganyika packers anawaleta wale misukule wake kwenye shoo ya kula pesa za mafala.Kwa ufupi GWAJIMA ni mganga wa JADI ila anamsingizia YESU eti yupo nae.
 
Ngoja afikishe miezi 6 ndo mtamjua Mungu alivyo wa ajabu. Atawaaibisha watu kwa kutoa copy.
 
Kitanda akizai haramu. Mbasha atake asitake mtoto ni wake.
 
hizi post watu wanabeba kila kitu wanachokiona online ovyo ovyo tu.. Mleta mada umekaa ukafikiria kua kuna possibility mtu alikaa home akatafuta picha ya mtoto anayefanana na msela mdomo then akaipost hewani?? afu personal life la mtu sijui kwa nini ukae unalifuatilia, ukifatiliwa wewe sijui kama utatoka msafi..

Huyo G watu wamemshikia bango kwa sababu ni mchunga kondoo na mtu alie lalamika kuwa kuwa frola ni mzinifu ni mumewe na mtu aliemshutumu ni mchungaji Gwajima sasa hapo sio anafuatiliwa bali watu wanamuweka peupe ili kila mtu aone kama huyu mtu anafaa kuwa mchunga kondoo?
 
Duuh kashakua ankali tenaa..... Haya pole flora lea kichanga chako mwaya weye sio wa kwanza kuchepuka na sio wa mwisho...hili nalo litapita

ukweli wa flora anaujua yeye mwenyewe na mungu wake.
 
Jamaniee ni kwa nini mtumishi wa Mungu ahusishwe kweli skendo mbaya kiasi hicho?ni hivii mtumishi wa Mungu hapaswi kushutumiwa jamani!!ebu niambieni atawavunja wangapi nguvu za kusonga mbele na wokovu kama ndiyo hivyo????tukomae jamani ili neno la MUNGU lisitukanwe

Kwani watumishi wa Mungu hawana hisia????? neno la Mungu litatukuzwa ila Si vibaya mchungaji akichinja kondoo mmoja. kuchunga achunge yeye kula wale wengine!!!!!!!

Mbunye haina Shehe.
 
Kwahiyo ukitoka airport ndio halali kupora wake za watu? wewe gwajima vipi? wewe flora upo na Mungu gani? Mungu huyo wa manzese?? Mungu gani anatuma watu wakazini na kuwasukia waume zao zengwe ili wakagegedwe na wachungaji feki? Gwajima ni nabii wa uongo mwenye maajabu ya kitapeli.take care siku za mwisho hizi manabii wa uongo hao kina gwajima.
 
Hivi ile kesi ya ubakaji aliyotuhumiwa nayo Emmanuel Mbasha mume wa mchana mistari ya injili iliishiaga wapi? Maana cku siickii ikizungumziwa tena
 
we mleta mada huo ujasiri wa kuwahukum watu bila ya kuwa na ushahid unautoa wapi? naona hizo picha mnalazimisha hisia zenu ziwape majibu mnayotaka nyie ....mi nakushauri acha kuhukum watu bila ushahidi unapata dhambi
 
Pole sana mtumishi wa Mungu.Mungu akutie nguvu.Utashinda hili pito.
 
Samahani sana sijakuelewa kabisa. Lengo langu ni kwamba kwa kuwa mchungaji anatuhumiwa huku wote wakikataa dawa ni DNA. Sasa ni kwanini laana za wajukuu?
Sorry mkuu kamasikukuelewa niliona unahalalisha huu upuuzi unaaoongelewa nikaona nikujulishe unajua flora na gwajima MTU namjomba!!!tukopamoja mkuu
 
Unaanzaje kumsema vibaya masihi wa bwana? Hata kama katenda hayo ipo mamlaka ya kumshughulikia ambae ni MUNGU mwenyewe alie muita sasa ninacho kiona hapa ni watu kujizolea laana na watu kujifunga katika maisha yao wenyewe maana wamenyanyua vinywa vyao kwa masihi wa bwana asomae na hafahamu
 
Back
Top Bottom