yaan ajikondeshe kwa sku moja!!?Ajikondeshe kidogo kabla ya harusi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majina ya daudi yana nyota ya kubebwa
Mbona mzee Machache alivyofunga ndoa na K. Lyn watu waliona sawa tu hawakuona wanafanya makosahuyu dogo kapotea njia kabisa anaoa mkweche wakati yeye namwona bado hajawahi kuwa kwenye ndoa. Kuna siku atatamani kitu fresh aone kikoje kwani anaanza ndoa na mama aliyekwisha kaa ndani ya ndoa muda mrefu. hii nayp haita survive
Kwani una uhakika wao wanafunga ndoa kwa misingi ya biblia?Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Sikujua kuwa harusi ni kesho mkuuyaan ajikondeshe kwa sku moja!!?
Yaani Flora kwa Daudi ni mtu na Bibi yake.Halafu mbona kama vile Flora anaonekana ni Robert Mugabe ( Mzee / Mkubwa ) kwa Daudi?
Mungu gani huyo unayemuombea?hapo hakuna ndoa zaidi ya uzinzi tu...Tuwaombee kwani safari bado,wanaweza wakaishi tu vizuri!
Hayo matusi Flora ameshazoea sana kuyafanya.Naona full kufanya matusi hapo kwa bed
ohoooSikujua kuwa harusi ni kesho mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia kanunua hadi na kiatu cha kesho kwenda kushuhudia. Lakini mi nahisi anaenda kusubilia pale mchungaji anapouliza kuna kipingamizi cha kuzuwiya ndoa isufungwe.
Waafrika hatuachani saana kwenye ndoa sababu maisha magumu watu wafikiria namna ya kuanza maisha upya. Mfano kujenga nyumba. Na nkMkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Harus kesho!!!muda ukiobak unatosha kwa zoez hilo?Ajikondeshe kidogo kabla ya harusi.
Wolokole wanaoana kama nguruweAnaliaibisha Jina la YESU,ameubili vizuri jina la Yesu kwa injili leo ni mzizi kwani maandiko yanasema haruhusiwi kuolewa hadi aliyefunganaye ndoa ya kwanza afe.Huo anaofanya sasa ni uzinzi