Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Ngoja aolewe iliyule muuza sura wake wa awali apate uchungu wa Kutafuta pesa maana alikuwa anasafiria nyota ,mtoto wa kiume anajiremba kama flora bwana

Hahahaaaa jamani nyie?! [emoji14][emoji14][emoji14] nimecheka Kwa sauti mpaka basi! Watoto wa mjini wanakwambia mapenzi pesa, ufundi peleka VETA ! Na hapendwi Mtu isipokuwa pesa! Imeandikwa fedha ni jawabu la mambo yote! Hata uwe mwanaume hata awe mtanashati kiasi gani bila kuwa Na uwezo wa kupata kipato cha kuweza familia kujikimu ni kazi bure! Halafu ikiwa Kwa miaka miwili mitatu Sawa lakini iwe Siku zote jamani? Mwanamke uhudumie mahitaji ya familia Na mahitaji yako binafsi mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, Na kuendelea? Acheni nyie ufanye kusikia tu halafu mwisho wa yote asie mwaminifu kwenye ndoa!
 
mbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni

Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Hahahahahahaha
 
Maelezo yako naamini yamejitosheleza
 
Ongelea udhaifu wa mtu na si Ukristo.dini zote zina watu dhaifu na marijali pia,hapa ni swala la mtu mwenyewe
 
Hawa waimba gosple nao tukiacha kununua kazi zao eti nao wata andamana, why wanatuhamasisha wasiyoyatenda au nao ni wasanii wa uigizaji yaani wanaimba tu kufurahisha watu? Hawana aibu kabisa na huyo atakae bariki huo uzinzi eti nae atakuwa mchungaji kweli jamani?
 
Huyo dada hakuwa amefunga ndoa na Mbasha? Lini ndoa ya Kikristo ikawa zaidi ya mume mmoja?
 
Naomba kujua je dhambi hii(kuoa/kuolewa na aliyeachwa<uzinzi>) je ukitubu huwezi kusamehewa na ndoa yenu ikawa sahihi kikanisa ?
 
Si ajabu leo hii umezini ndipo ukakomenti hapa. Nani aliyekamilika katika dunia hii kama si mungu pekee.
Kwahiyo kama mimi nimezini. Turuhusu watu wavunje sheria kwa kuwa na Mimi navunja.
HAPANA.
 
Hapa nazungumzia Maswala ya Kiroho. Ndio nikahoji uhalali wa Mchungaji ataaefunga hiyo ndoa.
Kila mtu na imani yake ndugu, tuacheni kujivika utakatifu wa kujikalilisha. Hao wachungaji, mapadri na mashekhe wengi tu nishawahi kuwaona wakiwa na nyumba ndogo na ufuska kibao. Ulitaka Flora aishii maisha ya ki lesbians? Nashangaa sana watu mmeshupalia jambo la kawaida tu. Tena nikujulishe tu kuwa huyo kijana ni jirani yangu na wako na mahusiano kitambo hivyo hawajakurupuka. Hivi ni lini mara ya mwisho wewe umefanya sex na kwa nini? Pia ulitaka madam Flora aishi kama Watawa na wakati si Mtawa?
 
Hakuna ndoa za Kikristo za Mara mbili mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…