Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ngoja aolewe iliyule muuza sura wake wa awali apate uchungu wa Kutafuta pesa maana alikuwa anasafiria nyota ,mtoto wa kiume anajiremba kama flora bwana
Hahahaaaa jamani nyie?! [emoji14][emoji14][emoji14] nimecheka Kwa sauti mpaka basi! Watoto wa mjini wanakwambia mapenzi pesa, ufundi peleka VETA ! Na hapendwi Mtu isipokuwa pesa! Imeandikwa fedha ni jawabu la mambo yote! Hata uwe mwanaume hata awe mtanashati kiasi gani bila kuwa Na uwezo wa kupata kipato cha kuweza familia kujikimu ni kazi bure! Halafu ikiwa Kwa miaka miwili mitatu Sawa lakini iwe Siku zote jamani? Mwanamke uhudumie mahitaji ya familia Na mahitaji yako binafsi mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, Na kuendelea? Acheni nyie ufanye kusikia tu halafu mwisho wa yote asie mwaminifu kwenye ndoa!