Flora Mbutananga spates na mkasa wa kuibiwa Christmas 2019 kisa ahadi ya engagement

Huyu mhenga mwenzangu sijui shida ni nini

Halafu Mshana Jr si huyuhuyu aliwahi kusema alitaka kubakwa sijui alibakwa na GodblessLema huyu
 
Huyu mhenga mwenzangu shida ni nini sijuisijui

Lema ana msingizia tu,huyo kwa mwonekano wake na sura yake haifai hata kupigiwa puchu.
 
Hata sasa pamoja na kesi ya kutapeliwa kafungua na ya ubakaji pia
Huyu mhenga mwenzangu shida ni nini sijuisijui

Halafu Mshana Jr si huyuhuyu aliwahi kusema alitaka kubakwa sijui alibakwa na GodblessLema huyu

Jr[emoji769]
 
Haa! Kumbe mbutananga ni mtu

Nilimskia unju akilitaja hili jina

Mbutananga mna blanda, nakudai mkuu kapanga/

It's Scars
 
Hujawahi elewa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahahaha..Huwa naelewa ila kuna mambo ndio kidogo najikuta niko njiapanda na sintofaham juu
 
Huyu mmama sijui dada kuna kipindi alikuwa anaforce sana umaarufu na kama kumbukumbu zangu zipo sawa ni yupo abroad.
 
Maisha magumu hasa kwa wasanii halafu una jina kubwa halafu huna kitu,huyo niva ana jina kubwa lakini kazi zote kufukuzana na bodaboda ,lazima atafute mtelezo mjini akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niva kabla hajaingia kwwnye sanaa alikua ni jambazi maarufu na kuna clip ana kiri ni kwel alikua jambazi ila ameacha ,ila navyojua amejificha kwenye kivuli cha bongo movie
 
Come easy go easy..... Hakuna mapenzi mpaka kufikia kuvishana pete ndani ya masaa 48 tangu kufahamiana... Hapo lazima mmoja apigwe

Wabongo muvi.. Mungu anawaona na ndio maana hata tasnia yenu hii inaelekea kaburini.. Kwasababu ya wizi, uongo utapeli na kudanga... Chanzo cha yote haya ni kutaka kuishi maisha ya juu tofauti na uhalisia unaotokana na kupewa umaarufu bandia na magazeti ya udaku
Mbuta na ujanja wake kapigwa ndefu fulani kuanzia kumgharamia mchumba mavazi starehe, pesa ya pete 2m, fedha tasilimu, matengenezo ya gari chakula mavazi nknk.. Aliyempiga si mwingine bali ni mbongo muvi na genge lake

Diamond anawafahamu vema wabongo muvi.. Hana hamu nao walimchanganya akachanganyikiwa kabisa...
Ukikutana na bongo movie wamechafua meza jua tu ya kwamba kuna lofa keshapigwa mahali au ndio Don kwenye hiyo meza
Mbuta sijui ninini kilimchanganya mpaka kugawa kipapa the same nite alipotongozwa.. anyway alikolezwa na wenye mji wao.. Wasiojua kutofautisha maisha halisi na kazi zao....

Bongo movie wameuanza mwaka kwa DOA kubwa jeusi la aibu ya wizi na utapeli

View attachment 1321246

Jr[emoji769]
Nimecheka sana hapo tunasema aliyeuza cheni ya bandia kapewa pesa halali ya kitanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo dada heri ya mwaka mpya 2020View attachment 1321247

Jr[emoji769]

Kwa picha hii ina maana MC Pilipili alikuwa akinyanduana na huyu mwanamama aisee? Mbutananga unakosea wapi dada yangu?

Kuna kipindi ulisema Mh. Godbless Lema alikubaka sidhani aisee why yuko so cheap hivi? Ina maana na kukaa koote huko Europa na exposure bado tuu unadhubutu kutunduana na NIVA?
 
Nimeangalia video nina wasiwasi na utimamu wa akili wa huyu mwanamke

Back
Top Bottom