Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #61
ila atakuwa anawakilisha pia kwa shape nzuri eeh? manake watani wangu huwa wamepunjwa makalio, sasa ukikuta alieotea kiduchu tu weeh mnakoma. nashukuru mungu ana tumiguu kama twangu:A S-confused1:
Nipe details za kutosha basi mrembo!
Mwenzako hiyo chocolate inaniua......!
Afu na wewe usipoteage ivo bana, yaani nakumisi mpaka basi tena.
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
hata mimi nimeshangaa kuona quote eti " Deo Corleone commented on your post in DELETED POST"eti mbna uzi wa kidoti haupo?
heheheeee.. ndizi nyekundu?Duh mi nilifikiri ni sokwe anarukia ndizi!
Onyo, anabaka wanaume, kuwa makini.Amenivutia sana huyu dada!
Anapatikana wapi vile, nataka nimtongoze mie!
hata mimi nimeshangaa kuona quote eti " deo corleone commented on your post in deleted post"
nimetafuta deleted post sijaiona mpaka sasa.
atiiiii... kumbee.... perhaps ni stakeholder humu, et eeeh??ile post mbele ilimtaja jamaa wa bamaga na kumbe humu huwa hatajwi kwa mabaya!
Hahahaha watani bwana wanajiona kila kitu wapo juu, ila upande wa salio mhhhh
Salio ni nini banaaa. Mtu hataishi kwa mkate tu. Nyika imejaa mahindi, nje kuna ndizi na maharagwe na kuku wa sikukuu. Shida gani hapo sasa?
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
Like seriously!!!England ndio imemfunza hivi?au alivyokuwa raped alipata psychological effects..akadata kimtindo....(kama kweli)maana words dont come out right.....uwiiiiiiii
mi vimiguu vyake kama kapiga sarakasi