Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Nalandana nawe, Ibenge hawezi mpira wa Bongo
 
Timu za bongo zijifunze kuweka mzigo wa maana kuwalinda makocha wanaoonesha uwezo!

Nabi angetulia hata misimu minne zaidi.
Kuna raha sana kuondoka unapofikia kilele cha mafanikio, Nabi kwa sasa ametufikisha kilele cha mafanikio.

Nabi ameshatujua mashabiki wa bongo kuwa ikiwa atateleza kidogo huko mbeleni atakutana na kila lawama.

Akibaki ni jambo jema, akiondoka pia namtakia kila la kheri, ametutoa kimasomaso kwa kweli
 
Akiwa AC l
Duh huyu profesa wenu ndiyo ana rekodi za hovyo hivi? Ukiacha Yanga, kila sehemu nyingine aliyopita alikuwa anatimuliwa ndani ya miezi 6.

Hizi ndiyo ngekewa tunazozisema.
Akiwa AC Leopard ya Kongo 2012 alibeba CAFCC
Kocha mwenye kombe la Caf cc hawezi kulipata kwa ngekewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ