Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Ibenge ana jina kubwa Sana ila uwezo wake ni mdogo Sana. Nabi ndiye kocha wa kwanza kuondoka Tanzania 🇹🇿 Kila mmoja akikiri uwezo wake mkubwa. Ameondoka mwenyewe hajafukuzwa , ameondoka mwenyewe akiwa hanaugonvi na timu pinzani. Anaondoka mwenyewe Kila Mtanzania anampenda
Nalandana nawe, Ibenge hawezi mpira wa Bongo
 
Timu za bongo zijifunze kuweka mzigo wa maana kuwalinda makocha wanaoonesha uwezo!

Nabi angetulia hata misimu minne zaidi.
Kuna raha sana kuondoka unapofikia kilele cha mafanikio, Nabi kwa sasa ametufikisha kilele cha mafanikio.

Nabi ameshatujua mashabiki wa bongo kuwa ikiwa atateleza kidogo huko mbeleni atakutana na kila lawama.

Akibaki ni jambo jema, akiondoka pia namtakia kila la kheri, ametutoa kimasomaso kwa kweli
 
Akiwa AC l
Duh huyu profesa wenu ndiyo ana rekodi za hovyo hivi? Ukiacha Yanga, kila sehemu nyingine aliyopita alikuwa anatimuliwa ndani ya miezi 6.

Hizi ndiyo ngekewa tunazozisema.
Akiwa AC Leopard ya Kongo 2012 alibeba CAFCC
Kocha mwenye kombe la Caf cc hawezi kulipata kwa ngekewa
 
Back
Top Bottom