Irenga
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 2,639
- 1,873
Nalandana nawe, Ibenge hawezi mpira wa BongoIbenge ana jina kubwa Sana ila uwezo wake ni mdogo Sana. Nabi ndiye kocha wa kwanza kuondoka Tanzania 🇹🇿 Kila mmoja akikiri uwezo wake mkubwa. Ameondoka mwenyewe hajafukuzwa , ameondoka mwenyewe akiwa hanaugonvi na timu pinzani. Anaondoka mwenyewe Kila Mtanzania anampenda