Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapana mbona ni methali ya kizungu na inaeleweka, na inatumika tu.Methali za kiswahili hizo jombaa japo umeibadilishia lugha, achana Na kitu pesa
Kama ikipata hitilafu huwa inaelea tuu mpaka mkaiokoe nadhani ntamsifia. Lakini kama yaanguka kama nyingine nyingi zilizowahi anguka nadhani ningelikuwa yeye fedha ngeliiweka kwingine.
Ni kwa vile hatujuani kila mtu ankuwa mjuajikwa ujuaji wa JF lazima hutakosa wa kukujibu
NAJARIBU KUIMAGINE MAPATO YAKE KWENYE NGUMI YAKO KIASI GANI! Hivi pambano moja huwa analipwa kiasi gani on averageAbout $34m kama hiyo
Hata nikitamani mkuu haitakaa itokee siku moja niwe navyo! Huu utawala uliopo sa hvi kupata ugali wa mchana umshukuru MUNGU!!We hautamani?
😀😀...awe amewekeza na kunakorudishia pesa manake...Mwache atumie hela zake. Kupigwa ngumi za kichwa sio mchezo
Wanasema ponda mali kufa kwaja😀😀...awe amewekeza na kunakorudishia pesa manake...
Maneno ya mkosaji!Utaendesha kila kitu ndege gari we utaweza, ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza...na watu msururu....(kazi yake mola by madee)
Wivu!Kama ikipata hitilafu huwa inaelea tuu mpaka mkaiokoe nadhani ntamsifia. Lakini kama yaanguka kama nyingine nyingi zilizowahi anguka nadhani ningelikuwa yeye fedha ngeliiweka kwingine.
Mane
Maneno ya mkosaji!
Mmh ana hela ndefu sana, pambano moja anaweza lipwa $40m na ana cash zaidi ya $600m alikuwa ndio athletes anaelipwa hela nyingi duniani mpaka mwaka huu ambapo amechukua RonaldoNAJARIBU KUIMAGINE MAPATO YAKE KWENYE NGUMI YAKO KIASI GANI! Hivi pambano moja huwa analipwa kiasi gani on average