Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Methali za kiswahili hizo jombaa japo umeibadilishia lugha, achana Na kitu pesa
Hapana mbona ni methali ya kizungu na inaeleweka, na inatumika tu.

Kama mtu ana pesa za uhakika na ameamua kuzitumia anavyotaka that's his lifestyle. Wala simshangai ni kipenda roho,

Je kuwa tajiri ni lazima uwe na gari mia kama yeye. Hapo ndio nikaandika hivyo
 
Kama ikipata hitilafu huwa inaelea tuu mpaka mkaiokoe nadhani ntamsifia. Lakini kama yaanguka kama nyingine nyingi zilizowahi anguka nadhani ningelikuwa yeye fedha ngeliiweka kwingine.

boss anewo wiwu
 
Ivi ndege nazo zinakatiwa Bima? Kwamfano ikianguka ulipwe mpya?
 
Utaendesha kila kitu ndege gari we utaweza, ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza...na watu msururu....(kazi yake mola by madee)
 
Tukiambiwa waafrika IQ zetu mbili tunakataa...oooh eti tunaonewa
 
Kama ikipata hitilafu huwa inaelea tuu mpaka mkaiokoe nadhani ntamsifia. Lakini kama yaanguka kama nyingine nyingi zilizowahi anguka nadhani ningelikuwa yeye fedha ngeliiweka kwingine.
Wivu!
 
NAJARIBU KUIMAGINE MAPATO YAKE KWENYE NGUMI YAKO KIASI GANI! Hivi pambano moja huwa analipwa kiasi gani on average
Mmh ana hela ndefu sana, pambano moja anaweza lipwa $40m na ana cash zaidi ya $600m alikuwa ndio athletes anaelipwa hela nyingi duniani mpaka mwaka huu ambapo amechukua Ronaldo


Huyu jamaa namkubali hela yake nyingi anafanyia biashara za uhakika. Lakini mayweather yumo kwenye mziki na nguo kidogo pamoja na kuwa na magari mia ya kifahari na ndege na meli mmh
 
Wamarekani weusi matatizo ,wachache sana kama wakina Mohammad Ali
 
Ni kweli hela zake na katafuta kwa jasho lake na mpangaji wa matumizi ni yeye mwenye pesa zake, lakini ukweli lazima usemwe hapa ndipo ule msemo wa watu weusi IQ zetu ndogo unapofanya kazi. Kwa sababu tayari huyu jamaa anayo ndege tena na yenyewe ni ya kifahali tu lakini kaamua kununua ndege nyingine kitu ambacho kwa mtu mweupe au aliye vizuri kichwani huenda asingekifanya. Angezidi kujikita kwenye uwekezaji mkubwa.
 
Back
Top Bottom