Fluoride in the Water for Mind Control

Fluoride in the Water for Mind Control

Artificial intelligence

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
1,265
Reaction score
2,252
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili

Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya usambazaji/uzalishaji wa maji ya kunywa, lengo kuu la kutumia fluoride likiwa ni kuimarisha mifupa na meno, hasa kwa watoto. Inaonekana kama mpango mzuri, kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo, kuna wengi ambao wanaamini kwamba sababu za kuanzishwa kwa fluoride katika maji yetu ni sinister zaidi.

Kwanza yatupasa tuelewe tofauti kati ya aina ya fluoride ambayo miili ya binadamu na aina ya sumu wanayosema inaongezwa kwenye maji yetu. Organic calcium-fluoro-phosphate ni aina nzuri, aina ambayo tunahitaji kujenga na kuimarisha mifupa na meno yetu, na inaweza kupatikana katika vyakula. Ni chumvi ya kikaboni(organic), ya chakula, isiyo na maji, na inaweza kuchanganywa ndani ya miili yetu. Hii sio aina ya fluoride ambayo watetezi wa hili na kauli yao wanatetea kwamba viwanda vinatulisha kupitia maji yetu. Aina hiyo inaonekana ni fluoride ya sodiamu(sodium fluoride) sumu ambayo ni mbaya, kemikali hii inaweza tumika kama sumu ya panya.

Sodiamu fluoride katika maji inasemekana kuwa na madhara kadhaa, kutoka kuharibu meno na kutoa lobotomies ndogo kwa kiasi kikubwa miongoni mwa watu hadi kuhathiri uwezo wa kufikiria wa mtu. Hii ndiyo sababu kuu watalaamu wanasema kwamba kemikali hii inasambazwa katika maji ya kunywa. Wanasema kuwa sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu ili waweze kuendesha akili yake na kuwa na kiwango kidogo cha upinzani dhidi ya mamlaka.

Wanasema kwamba, baada ya muda, kiasi cha fluoride katika maji polepole ugeuka sumu kwa mtumiaji na kuua sehemu ya ubongo ambayo inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na utii zaidi kwa watawala. Kuna nadharia nyingi tofauti kuhusu asili ya fluoridation ya usambazaji wetu wa maji.

Baadhi ya watu wanaamini kuwa ni mpango uliobuniwa na Hitler na wanasayansi wake wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambao baadaye ulipitishwa na Marekani. Wengine wanafikiri biashara kubwa na kampuni nyingi za afya ziko nyuma yake, kwa kutumia fluoride ya sodiamu ili kufanya watu wawe rahisi kudhibitiwa katika kutekeleza mipango yao. Pia kuna watu ambao wanaamini kwamba aina ya fluoride inayowekwa katika maji yetu ni aina salama zaidi, lakini kwamba, kimaadili ni makosa. Wanasema kuwa ni kama serikali kuwachanja watu wake kinyume na matakwa yao, bila ruhusa yao.

1688544093713.png

View attachment 2679049

Mimi bado nahitaji kufanya uchunguzi zaidi,
Kwasababu hao viongozi wanaotuwekea hayo maji na wao wanayanywa
Au unataka kusema wanayokunywa wao hayana?
 
Kwa aina ya manyumbu yaliyopo nchini, hili NINASADIKI bila kupinga.
 
Ni ajabu sana kwamba watu hawasomi mabandiko kama haya,ambayo ni muhimu sana kwa maisha yao,na badala yake wanakimbilia sports/udaku news.Hii yenyewe inaonyesha kwamba tayari they are affected.

Ni kweli kabisa mkuu, sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu,ili watawala waweze kuwatawala wananchi kirahisi kwa kuwa wana kiwango kidogo cha kufikiri. Hii huwafanya wasiwe na upinzani dhidi ya mamlaka.

Athari za Chloride ni kwamba baada ya kuitumia kwa muda, Chloride inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na hivyo kumfanya awe mtii zaidi kwa watawala.

Nilishaleta bandiko kama hili hapa,but few read it.Kinachoendelea katika nchi yetu sasa kwenye swala la kuwapa bandari zetu Waarabu,na mengi yaliyotokea huko nyuma kwenye mikataba na mambo mengine mbalimbali Kama Covid nk., kunaonyesha wazi kwamba serikali yetu ni collaborator katika conspiracy hii against us,na ndio maana hatujajali wala kufikiria kuchukua hatua zozote. Kutochukua hatua zozote against the establishment na kuwa complacent in everything kunaonyesha wazi kwamba tumekuwa affected and we are zombies of some kind.
 
Watu wanoishi Arusha na Moshi ,maeneo Yao ni floride endemic wangekuwa na akili kiduchu sana
Hivi wewe unaona wana akili inayotakiwa,mbona hawana.Soma comment yangu hapo chini,utaelewa ninacho maanisha.
COMMENT
"Ni ajabu sana kwamba watu hawasomi mabandiko kama haya,ambayo ni muhimu sana kwa maisha yao,na badala yake wanakimbilia sports/udaku news.Hii yenyewe inaonyesha kwamba tayari they are affected.

Ni kweli kabisa mkuu, sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu,ili watawala waweze kuwatawala wananchi kirahisi kwa kuwa wana kiwango kidogo cha kufikiri. Hii huwafanya wasiwe na upinzani dhidi ya mamlaka.

Athari za Chloride ni kwamba baada ya kuitumia kwa muda, Chloride inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na hivyo kumfanya awe mtii zaidi kwa watawala.

Nilishaleta bandiko kama hili hapa,but few read it.Kinachoendelea katika nchi yetu sasa kwenye swala la kuwapa bandari zetu Waarabu,na mengi yaliyotokea
huko nyuma kwenye mikataba na mambo mengine mbalimbali Kama Covid nk., kunaonyesha wazi kwamba serikali yetu ni collaborator katika conspiracy hii against us,na ndio maana hatujajali wala kufikiria kuchukua hatua zozote. Kutochukua hatua zozote against the establishment na kuwa complacent in everything kunaonyesha wazi kwamba tumekuwa affected and we are zombies of some kind."

Usichukulie mambo poa mkuu,tumeathirika sana.It has been proved that

'Chlorinated water 'can DOUBLE the risk of heart and brain abnormalities.'​

Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili

Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya usambazaji/uzalishaji wa maji ya kunywa, lengo kuu la kutumia fluoride likiwa ni kuimarisha mifupa na meno, hasa kwa watoto. Inaonekana kama mpango mzuri, kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo, kuna wengi ambao wanaamini kwamba sababu za kuanzishwa kwa fluoride katika maji yetu ni sinister zaidi.

Kwanza yatupasa tuelewe tofauti kati ya aina ya fluoride ambayo miili ya binadamu na aina ya sumu wanayosema inaongezwa kwenye maji yetu. Organic calcium-fluoro-phosphate ni aina nzuri, aina ambayo tunahitaji kujenga na kuimarisha mifupa na meno yetu, na inaweza kupatikana katika vyakula. Ni chumvi ya kikaboni(organic), ya chakula, isiyo na maji, na inaweza kuchanganywa ndani ya miili yetu. Hii sio aina ya fluoride ambayo watetezi wa hili na kauli yao wanatetea kwamba viwanda vinatulisha kupitia maji yetu. Aina hiyo inaonekana ni fluoride ya sodiamu(sodium fluoride) sumu ambayo ni mbaya, kemikali hii inaweza tumika kama sumu ya panya.

Sodiamu fluoride katika maji inasemekana kuwa na madhara kadhaa, kutoka kuharibu meno na kutoa lobotomies ndogo kwa kiasi kikubwa miongoni mwa watu hadi kuhathiri uwezo wa kufikiria wa mtu. Hii ndiyo sababu kuu watalaamu wanasema kwamba kemikali hii inasambazwa katika maji ya kunywa. Wanasema kuwa sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu ili waweze kuendesha akili yake na kuwa na kiwango kidogo cha upinzani dhidi ya mamlaka.

Wanasema kwamba, baada ya muda, kiasi cha fluoride katika maji polepole ugeuka sumu kwa mtumiaji na kuua sehemu ya ubongo ambayo inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na utii zaidi kwa watawala. Kuna nadharia nyingi tofauti kuhusu asili ya fluoridation ya usambazaji wetu wa maji.

Baadhi ya watu wanaamini kuwa ni mpango uliobuniwa na Hitler na wanasayansi wake wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambao baadaye ulipitishwa na Marekani. Wengine wanafikiri biashara kubwa na kampuni nyingi za afya ziko nyuma yake, kwa kutumia fluoride ya sodiamu ili kufanya watu wawe rahisi kudhibitiwa katika kutekeleza mipango yao. Pia kuna watu ambao wanaamini kwamba aina ya fluoride inayowekwa katika maji yetu ni aina salama zaidi, lakini kwamba, kimaadili ni makosa. Wanasema kuwa ni kama serikali kuwachanja watu wake kinyume na matakwa yao, bila ruhusa yao.

View attachment 2679049

Hii chai yako haijakolea sukari kwa maana wewe unasema wanasema.hao wànaosema ni akina nani na wamekuambia useme wanavyosema wao!? Hapo mbona tayari ni wewe ambaye uwezo wa kufikiri umeshakua mdogo .je we unakunywaga maji gani mkuu tofauti na hayo
 
Watu wa vijijini ndo wana akili fupi kuliko wote na wanakunywa zao maji ya mtoni
Wewe jamaa unachekesha, watu wa vijijini wana akili sana, sema wakisha fika mijini na kuanza kubugia hizi fluoride basi wanageuka mazombii, si unawaona wakina kitila Mkumbo, kabudi, mwigulu wote hao fluoride zimewapoteza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili

Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya usambazaji/uzalishaji wa maji ya kunywa, lengo kuu la kutumia fluoride likiwa ni kuimarisha mifupa na meno, hasa kwa watoto. Inaonekana kama mpango mzuri, kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo, kuna wengi ambao wanaamini kwamba sababu za kuanzishwa kwa fluoride katika maji yetu ni sinister zaidi.

Kwanza yatupasa tuelewe tofauti kati ya aina ya fluoride ambayo miili ya binadamu na aina ya sumu wanayosema inaongezwa kwenye maji yetu. Organic calcium-fluoro-phosphate ni aina nzuri, aina ambayo tunahitaji kujenga na kuimarisha mifupa na meno yetu, na inaweza kupatikana katika vyakula. Ni chumvi ya kikaboni(organic), ya chakula, isiyo na maji, na inaweza kuchanganywa ndani ya miili yetu. Hii sio aina ya fluoride ambayo watetezi wa hili na kauli yao wanatetea kwamba viwanda vinatulisha kupitia maji yetu. Aina hiyo inaonekana ni fluoride ya sodiamu(sodium fluoride) sumu ambayo ni mbaya, kemikali hii inaweza tumika kama sumu ya panya.

Sodiamu fluoride katika maji inasemekana kuwa na madhara kadhaa, kutoka kuharibu meno na kutoa lobotomies ndogo kwa kiasi kikubwa miongoni mwa watu hadi kuhathiri uwezo wa kufikiria wa mtu. Hii ndiyo sababu kuu watalaamu wanasema kwamba kemikali hii inasambazwa katika maji ya kunywa. Wanasema kuwa sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu ili waweze kuendesha akili yake na kuwa na kiwango kidogo cha upinzani dhidi ya mamlaka.

Wanasema kwamba, baada ya muda, kiasi cha fluoride katika maji polepole ugeuka sumu kwa mtumiaji na kuua sehemu ya ubongo ambayo inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na utii zaidi kwa watawala. Kuna nadharia nyingi tofauti kuhusu asili ya fluoridation ya usambazaji wetu wa maji.

Baadhi ya watu wanaamini kuwa ni mpango uliobuniwa na Hitler na wanasayansi wake wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambao baadaye ulipitishwa na Marekani. Wengine wanafikiri biashara kubwa na kampuni nyingi za afya ziko nyuma yake, kwa kutumia fluoride ya sodiamu ili kufanya watu wawe rahisi kudhibitiwa katika kutekeleza mipango yao. Pia kuna watu ambao wanaamini kwamba aina ya fluoride inayowekwa katika maji yetu ni aina salama zaidi, lakini kwamba, kimaadili ni makosa. Wanasema kuwa ni kama serikali kuwachanja watu wake kinyume na matakwa yao, bila ruhusa yao.

View attachment 2679049

Kwani wanoweka kwenye maji wenyewe huwa hawayatumii hayo maji ?
 
Hivi wewe unaona wana akili inayotakiwa,mbona hawana.Soma comment yangu hapo chini,utaelewa ninacho maanisha.
COMMENT
"Ni ajabu sana kwamba watu hawasomi mabandiko kama haya,ambayo ni muhimu sana kwa maisha yao,na badala yake wanakimbilia sports/udaku news.Hii yenyewe inaonyesha kwamba tayari they are affected.

Ni kweli kabisa mkuu, sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu,ili watawala waweze kuwatawala wananchi kirahisi kwa kuwa wana kiwango kidogo cha kufikiri. Hii huwafanya wasiwe na upinzani dhidi ya mamlaka.

Athari za Chloride ni kwamba baada ya kuitumia kwa muda, Chloride inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na hivyo kumfanya awe mtii zaidi kwa watawala.

Nilishaleta bandiko kama hili hapa,but few read it.Kinachoendelea katika nchi yetu sasa kwenye swala la kuwapa bandari zetu Waarabu,na mengi yaliyotokea
huko nyuma kwenye mikataba na mambo mengine mbalimbali Kama Covid nk., kunaonyesha wazi kwamba serikali yetu ni collaborator katika conspiracy hii against us,na ndio maana hatujajali wala kufikiria kuchukua hatua zozote. Kutochukua hatua zozote against the establishment na kuwa complacent in everything kunaonyesha wazi kwamba tumekuwa affected and we are zombies of some kind."

Usichukulie mambo poa mkuu,tumeathirika sana.It has been proved that

'Chlorinated water 'can DOUBLE the risk of heart and brain abnormalities.'​

Wewe huwa haunywi hayo maji ?
 
Back
Top Bottom