Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri.
Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya ajabuajabu kama wenzao. Hili ni swala ambalo ni la kupongeza sana maana wengi walisema hawa watu ni wanaharakati na hawawezi kuongoza. Sasa tumeona wamekuja na njia endelefu ya kupata pesa za chama, wanapitisha kwa kila mtu kampeni ya ku sign kwa wananchi ya kuonyesha chaguzi haziko huru, wanaweka mawasiliano vizuri kwa vyombo vya dini, mawasiliano na balozi muhimu, wanashiriki makongamano ya kisiasa, mikutano haina fujo.
Lakini kikubwa hoja zao sio CCM kwa sasa ni mfumo. Sasa CCM inabidi ifanye kampeni za kupinga chaguzi huru badala ya kuongelea sera zao.
Kwa Muda mfupi Chadema wamewashinda CCM kwenye Media, vijana wa siku hizo wanachoka mapema sasa wameshawachoka machawa. Lakini ukienda kuwauliza watanzania leo kati ya Lissu na Mama Samia nani ni Muongo? Nani Mla rushwa ? jibu liko wazi. Wakati wa Mbowe walikuwa wamesha mpaka matope sana lakini sasa hivi Lissu ana record ambayo imenyooka sana
Kwa Focus hii ni bora serikali iboreshe sheria na kuwe na chaguzi huru na za haki bila hivyo Mama atakuwa Raisi boya boya sana miaka ijayo