Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

Kama foleni haitembei nakushauri tembea wewe mkuu hiyo achana nayo itakuchelesha
 
Hiyo barabara siku hizi ni kero sana, hata sisi wa goba siku hizi tunapita makongo kuepuka foleni
 
Niko hapa Migori mpakani mwa Dodoma na Iringa na-enjoy maisha.

Watu wa Daslam kazi mnayo, kuwa ndani ndani ni raha tupu!
 
nimefka hapa nkajikuta nacheka ucku huu. Sasa kwa hapo wanadekaje we jamaa
Sasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?

Ndo mana mwanamke akikuita ww n mwanaume wa dar, maana yake amekudharau.
 
Sasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?

Ndo mana mwanamke akikuita ww n mwanaume wa dar, maana yake amekudharau.
Kwa vile unaishi huko Kantalamba karibu na Kazuramimba huwezi kuelewa umuhimu wa mada hii. Nilikuwa nawatahadharisha wana Da'Slaam wenzangu watafute njia mbadala za kupita kwenda makwao
 
Mitano tena kwa Mama ,barabara miaka mitatu haiishi tu.

Hiyo barabara ilitakiwa ipigwe njia nane hadi Bunju Sokoni kama ya Kimara-Kibaha.

Mradi ukiisha then watakuja tena kuipanua wakati ilitakiwa waifanye hiyo kazi kipindi hichi.
Sijuwi watamaliza lini 😄
Miradi yao

Ova
 
Back
Top Bottom