Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

Foleni haitembei kati ya Tegeta na Mbezi Afrikana saa 5 za usiku

Kwa vile unaishi huko Kantalamba karibu na Kazuramimba huwezi kuelewa umuhimu wa mada hii. Nilikuwa nawatahadharisha wana Da'Slaam wenzangu watafute njia mbadala za kupita kwenda makwao
Nyie watu wa daslamu hata manyunyu ya mvua mnaianzishia Mada
 
Sasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?

Ndo mana mwanamke akikuita ww n mwanaume wa dar, maana yake amekudharau.
si unajua jf ni ya kila kitu {dare talk openly} ila mda mwingne ntakubaliana na wewe coz mambo tunayataka wenyewe afu tunaanza kudeka kweli.
 
Back
Top Bottom