Wewe usiwe serous sasaAcha mzaha usiku wa manage, hii issue ni serious
nimefka hapa nkajikuta nacheka ucku huu. Sasa kwa hapo wanadekaje we jamaaWatu wa daslamu mnadeka Sana aisee
Sasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?nimefka hapa nkajikuta nacheka ucku huu. Sasa kwa hapo wanadekaje we jamaa
Kwa vile unaishi huko Kantalamba karibu na Kazuramimba huwezi kuelewa umuhimu wa mada hii. Nilikuwa nawatahadharisha wana Da'Slaam wenzangu watafute njia mbadala za kupita kwenda makwaoSasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?
Ndo mana mwanamke akikuita ww n mwanaume wa dar, maana yake amekudharau.
Sijuwi watamaliza lini 😄Mitano tena kwa Mama ,barabara miaka mitatu haiishi tu.
Hiyo barabara ilitakiwa ipigwe njia nane hadi Bunju Sokoni kama ya Kimara-Kibaha.
Mradi ukiisha then watakuja tena kuipanua wakati ilitakiwa waifanye hiyo kazi kipindi hichi.