Nyie watu wa daslamu hata manyunyu ya mvua mnaianzishia MadaKwa vile unaishi huko Kantalamba karibu na Kazuramimba huwezi kuelewa umuhimu wa mada hii. Nilikuwa nawatahadharisha wana Da'Slaam wenzangu watafute njia mbadala za kupita kwenda makwao
si unajua jf ni ya kila kitu {dare talk openly} ila mda mwingne ntakubaliana na wewe coz mambo tunayataka wenyewe afu tunaanza kudeka kweli.Sasa foleni ndo ishu ya kufungulia mada?
Ndo mana mwanamke akikuita ww n mwanaume wa dar, maana yake amekudharau.
Nipo huku mkuu. Siku Moja nitakuja huko daslam.Unaishije mahali porini namna hiyo? Nilidhani Migori wanaishi ngedere na pimbi tu
Mjulishe basha lako Abdul huko. Usitusumbue.Habari ndiyo hiyo, kama unatarajia kwenda popote, badili njia. Hata bodaboda hazipiti
Unadhani wanaishi ki unyumba kama wewe na Abdul?Unaishije mahali porini namna hiyo? Nilidhani Migori wanaishi ngedere na pimbi tu
Oya GT bado upo Copenhagen? Natinga kesho Copenhagen.Sijuwi watamaliza lini 😄
Miradi yao
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe usiwe serous sasa
VelkomstOya GT bado upo Copenhagen? Natinga kesho Copenhagen.
Mwajuma nchokonoe anasemaje kuhakikisha road networks vinawiana na idadi ya magari yanayotumia hizo barabara?Uwe chawa uwe kunguni au papasi kama wewe foleni inakuhusu tu.
Masaki nyumba hakuna tena, full mabaa, SPA na makolokolo mingine kibaoViongozi wamegoma kukaa Masaki Kule wanatusumbua tu mbezi beach
Nyumba za Viongozi bado zipo MkuuMasaki nyumba hakuna tena, full mabaa, SPA na makolokolo mingine kibao