Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

Foleni Jiji la Dar: Ni pale tutakapopata viongozi wenye akili ndipo tatizo litaondoka

tatizo la foleni dar ni ukosefu wa ring roads za kutosha!

Watengeneze ring roads za kutosha mfano magari ya mizigo yalikuwa na ulazima gani wa kutoka kurasini na kupita mandela road ubungo kimara mpaka mbezi kwanini yasipitie ndanindani huko yakatokea kibaha huko.
 
Bado tatizo kuu libabaki pale pale kuwa tuna viongozi vilaza
 
Changamoto kubwa ni mipango miji.
Pamoja na wembamba wa barabara, zikiwa chache ni tatizo zaidi.
Ujenzi holela, tena usioacha nafasi kwa ajili ya miundombinu ya uma ndiyo janga kuu.
Hata hivyo, serikali ya hovyo hutokana na wananchi wa hovyo na matokeo yake ni huduma na miundombinu ya hovyo.
Januari mosi nimepita Kahama mashineni , mwenyekiti wa mtaa wa mashineni ameuza barabara inajengwa godauni, barabara inapaswa kuingia sekondarl MALUNGA. Hii ni AIBU , Waziri wa mabarabara aseme jambo kuhusu hali hii.
 
Alafu tunasema nchi hii eti tuna Wizara ya Ardhi na Maofisa Ardhi.

Niombeeni niwe Rais ile ndo Wizara ya Kwanza nitakayoivunja nchi hii.
 
Huwezi tatua tatizo la foleni kwa kuongeza upana wa barabara. Unatatua kwa kuboresha usafiri wa umma. Watu sabini wapande basi au behewa moja badala ya kupanda magari 30, 40, 50 au hata 70.
 
Nikitembea katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo mengi ya Tanzania jambo kuu linalonijia kichwani ni kwamba, Tanzania tutapata maendeleo ya kweli pale tu tutakapopata Viongozi wenye akili na wasioendekeza rushwa.
Agree 100%.
Mbagala -Kongowe, mtu mwenye akili hata barabara ya vumbi angechonga!
 
Kuna siasa zimepandikizwa kwa makusudi kabisa kwakutumia waandishi wa habari maarufu kwa mlengwa wa kuharibu legance ya Magufuli, wanasahau kila binadamu anapande zake mbili, sura mbili atakupokea vile ulivyokuja. Pamoja na yote yule jamaa angetuvusha kama angeendelea kuwepo mpaka sasa.
 
Si evolution,Revolution, you wonder why tunaendelea kupata viongozi wa aina hii? And jamii ina wa support?

Is not about maamuzi kama tatizo liko deep layered deep down kwenye jamii. Tunaweza avoid kwa muda mfupi, but litajirudia

So get rid of roots or get rid of leaves?
For the long-term solution, we need to get rid of the roots. It might be costly/costful but it's the only and best way to go for..
 
Kuna siasa zimepandikizwa kwa makusudi kabisa kwakutumia waandishi wa habari maarufu kwa mlengwa wa kuharibu legance ya Magufuli, wanasahau kila binadamu anapande zake mbili, sura mbili atakupokea vile ulivyokuja. Pamoja na yote yule jamaa angetuvusha kama angeendelea kuwepo mpaka sasa.
Magufuli alipaswa kuwa kama Mzee Mkapa. Mkali kidogo pia alikuwa na busara. Well exposed to international affairs, alijua kuishi vizuri na development partners kama U.S.

Mkapa was smart bhana. Very very smart..
 
Back
Top Bottom