Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi. Kila siku, madereva wanapotoka Kawe kuelekea Morocco, au Kutoka Morocco - Kawe hali inakuwa mbaya zaidi. Wakati wa safari zao, madereva wengi huamua kufungua barabara na kuingia kwenye upande wa pili, wakijaribu kupita kwa haraka, bila kujali sheria za usalama barabarani.
Your browser is not able to display this video.
Hali hii inasababisha msongamano wa magari pande zote mbili, huku wengine wakijaribu kupita hadi kwenye sehemu ya watembea kwa miguu. Wakati mwingine, magari yanakosa kabisa kuelekea eneo husika, na hivyo kufanya foleni kuwa ndefu zaidi. Watu wanashuhudia vichochoro vya magari.
Ni wazi kuwa, iwapo hatua stahiki hazitachukuliwa, kwa mchezo huu adha hii ya foleni itakuwa mbaya zaidi.
Watu wa Dar buana. Kila kitu sheedah. Kuanzia maji, foleni, mgao wa umeme, takataka kila kona, joto kali, mbu wasumbufu n.k. Hamieni huku kwetu hakuna hizo sheeedah. Unaamka saa 1 na nusu na unawahi maeneo yako.

Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitkasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi. Kila siku, madereva wanapotoka Kawe kuelekea Morocco, au Kutoka Morocco - Kawe hali inakuwa mbaya zaidi. Wakati wa safari zao, madereva wengi huamua kufungua barabara na kuingia kwenye upande wa pili, wakijaribu kupita kwa haraka, bila kujali sheria za usalama barabarani.
Hali hii inasababisha msongamano wa magari pande zote mbili, huku wengine wakijaribu kupita hadi kwenye sehemu ya watembea kwa miguu. Wakati mwingine, magari yanakosa kabisa kuelekea eneo husika, na hivyo kufanya foleni kuwa ndefu zaidi. Watu wanashuhudia vichochoro vya magari.
Hakuna anayelalamika, mfano kila dereva akifuata utaratibu bila kuvunja sheria za barabarani unadhani leo hii tungeona kuna watu hawwajibiki ipasavyo? Foleni ipo tu ila mchezo huu wa hii barabara ni wa kukusudia kuvunja taratibu

Siyo kuvunja taratibu, inaelekea asilimia kubwa ya drivers wana usongo wa mawazo. Siamini hizo fujo za kutanua line 4 kuelekea upande mmoja kwenye barabara ya line 2,watu wenye akili timamu wanaweza kufanya.