Foleni kubwa Morogoro road

Wengine mlikua nyumba ndogo. Mnavyosoma hapa mnatoa taarifa home. Kumbe mko kwenye tanuru la mofa
 
Nimepita hapo.. usiku huu.. tatizo ni madereva.. kuanzia mbezi INN hakuna foleni..

Madereva hawataki kufuata foleni, wanaokija dar wameziba njia yote na wanao elekea moro nao wameziba njia zote..


 
Nimepita hapo.. usiku huu.. tatizo ni madereva.. kuanzia mbezi INN hakuna foleni..

Madereva hawataki kufuata foleni, wanaokija dar wameziba njia yote na wanao elekea moro nao wameziba njia zote..
Nyumbani wamekuelewa kwamba ulikua kwenye foleni?
 
Mimi enzi zangu nilikuwa napaki gari pembeni,sehemu yenye utulivu au Bar,najua hapa kuna walinzi,nafungua vioo kwa mbaali,nauchapa usingizi nikija kuamka gari zinatembea ndio naanza kuingia barabarani...
 
Tatizo.madereva wa tz upumbavu mwingi.. hiyo barabara inajengwa inahitaji nidhamu ya hali ya juu

Walioziba njia ni madere..
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.

Sijui shida ipo wapi
 
At last nimefika magetoni baada ya kukaa foleni masaa matano kudadadeki
Pole sana, yaani mtu akinunua gari lazima aanzishe uzi ili tumjue amenunua gari.
 
Bananeni hapo hapo Dar Es Salaam!
 
At last nimefika magetoni baada ya kukaa foleni masaa matano kudadadeki
Una dakika 45 tu za kulala kabla ya swalaa swalaa uwahi leo kibaruani kumalizia kiporo Cha kazi ya Jana!
ukichelewa, alfajili Hakuna foleni lakini saa 2 mbili leo Kuna msafara asubuhi
 
Huu ni utoto mkuu achana nao kbc kwamba kwenu mtu kuwa na gari ni maajabu?au hujui hapa mjini kuna gari mpk za milioni 2.Tafuta hela dogo wivu ukutoke
Nikinunua gari na mimi lazima nianzishe uzi
 
Hao wakandarasi wanachimba hapo kila siku.
 
Sasa weweunaongelea foleni ya sa 12 wakati hii crisis imeanza sa tatu usiku....hebu jilalie zako tuache na foleni yetu....mara ya nne hii nalala naamka niko palepale....magari yote yamezimwa kudadadeki
Crisis imeanza saa 1 jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…