cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Duuuuuh poleeeh sanaah.Si bora we ulitoka chalinze...mi nimetoka ubungo saa tatu..saiz sa nane bado hamna dalili ya kufika mbezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh poleeeh sanaah.Si bora we ulitoka chalinze...mi nimetoka ubungo saa tatu..saiz sa nane bado hamna dalili ya kufika mbezi
Hii ya leo ni nyoko...leo njia ya kimara imetunyoosha haswa...foleni tangu saa tatu usiku mpaka saizi saa saba bado hatuelekei kutoboa...leo nalala njiani kama naenda kigoma bora hata ningekua na manzi mkali pembeni...malori kama buku...nahisi foleni ishafika manzese saizi... Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
Foleni imeanzia mbezi mwisho mpaka Ubungo jombaa sijui nini shida...masaa manne sasa
Nyumbani wamekuelewa kwamba ulikua kwenye foleni?Nimepita hapo.. usiku huu.. tatizo ni madereva.. kuanzia mbezi INN hakuna foleni..
Madereva hawataki kufuata foleni, wanaokija dar wameziba njia yote na wanao elekea moro nao wameziba njia zote..
Mimi enzi zangu nilikuwa napaki gari pembeni,sehemu yenye utulivu au Bar,najua hapa kuna walinzi,nafungua vioo kwa mbaali,nauchapa usingizi nikija kuamka gari zinatembea ndio naanza kuingia barabarani...Hii ya leo ni nyoko...leo njia ya kimara imetunyoosha haswa...foleni tangu saa tatu usiku mpaka saizi saa saba bado hatuelekei kutoboa...leo nalala njiani kama naenda kigoma bora hata ningekua na manzi mkali pembeni...malori kama buku...nahisi foleni ishafika manzese saizi... Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.
Sijui shida ipo wapi
Sisi madereva tuna mambo mengi. Nina mji chalinze boss
Uwe mwelewa.Huo mji hapo Chalinze umeujenga lini na unaitwaje??-- Chalinze kubwa!!.
Uwe mwelewa.
Dereva wa Lori lazima awe na Bibi Chalinze. Hebu fika Chz saa tano usiku.
Pole sana, yaani mtu akinunua gari lazima aanzishe uzi ili tumjue amenunua gari.At last nimefika magetoni baada ya kukaa foleni masaa matano kudadadeki
Pole sana, yaani mtu akinunua gari lazima aanzishe uzi ili tumjue amenunua gari.
Bananeni hapo hapo Dar Es Salaam!Hii ya leo ni nyoko...leo njia ya kimara imetunyoosha haswa...foleni tangu saa tatu usiku mpaka saizi saa saba bado hatuelekei kutoboa...leo nalala njiani kama naenda kigoma bora hata ningekua na manzi mkali pembeni...malori kama buku...nahisi foleni ishafika manzese saizi... Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
Una dakika 45 tu za kulala kabla ya swalaa swalaa uwahi leo kibaruani kumalizia kiporo Cha kazi ya Jana!At last nimefika magetoni baada ya kukaa foleni masaa matano kudadadeki
Nikinunua gari na mimi lazima nianzishe uziHuu ni utoto mkuu achana nao kbc kwamba kwenu mtu kuwa na gari ni maajabu?au hujui hapa mjini kuna gari mpk za milioni 2.Tafuta hela dogo wivu ukutoke
Hao wakandarasi wanachimba hapo kila siku.Ni kweli mimi nilikua napokea mgeni hapo Mbezi yaani nimekaa kama masaa 3 ndo naingia home saa hizi, tatizo liko hapo Mbezi ile barabara inayotoka Goba imefungwa naona wakandarasi wamechimba bonge la mtaro naona ujenzi unaendelea sijui ni kwa muda gani magari yanayotoka goba kwenda kinyerezi & virce versa ndio yanaleta shida kwa magari yanayotumia Morogoro rd hivyo nawashauri muepuke uelekeo huo
Crisis imeanza saa 1 jioni.Sasa weweunaongelea foleni ya sa 12 wakati hii crisis imeanza sa tatu usiku....hebu jilalie zako tuache na foleni yetu....mara ya nne hii nalala naamka niko palepale....magari yote yamezimwa kudadadeki
Duhh Poleh sanaNipo hapa Mbezi mwisho kwa zaidi ya 3hrs, askari wamelala hakuna gari inayosogea. Nina stress balaa, dadeq
Sa8🙆🏽♀️🙆🏽♀️Imefunguka mkuu, tumepita!!