Foleni kubwa Morogoro road

Foleni kubwa Morogoro road

Mitaa ya temboni kudadadeki na ubungo nimepita sa tatu...dar nahama
Aisee, pole upo mbali sana. Nipo junction hapa kwa Yusuf na hamna gari inayotembea. Huenda watu wakaamkia barabarani leo.
 
Acha kabisa mi bado nipo temboni nimelala weee nimeamka...nikalaa tena wee nikaamka....nalala tena
 
Poleeeh sanaah, ila hii road mmmh foleni ni every dai, kuna siku nilikuwa natoka mkoa kuja hapa [emoji551], tulifika chalinze SAA 2, hiyo foleni sitakaa nisahau ubungo tuliingia SAA 7. Khaaaaaah
Si bora we ulitoka chalinze...mi nimetoka ubungo saa tatu..saiz sa nane bado hamna dalili ya kufika mbezi
 
Haifiki ubungo acha uongo!
Mimi nimebanwa na hiyo foleni tokea saa 12, by saa nne na nusu hivi nikatoboa, mbele huko kabla ya stop over ni kweupe...
Sasa weweunaongelea foleni ya sa 12 wakati hii crisis imeanza sa tatu usiku....hebu jilalie zako tuache na foleni yetu....mara ya nne hii nalala naamka niko palepale....magari yote yamezimwa kudadadeki
 
Toboa njia ya msumi - goba -njia nne mkuu sio lazima upite "barabara ya morogoro road".
 
Back
Top Bottom