ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Aisee, pole upo mbali sana. Nipo junction hapa kwa Yusuf na hamna gari inayotembea. Huenda watu wakaamkia barabarani leo.Mitaa ya temboni kudadadeki na ubungo nimepita sa tatu...dar nahama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, pole upo mbali sana. Nipo junction hapa kwa Yusuf na hamna gari inayotembea. Huenda watu wakaamkia barabarani leo.Mitaa ya temboni kudadadeki na ubungo nimepita sa tatu...dar nahama
Mbunge mliyemchaguaHivi chanzo cha iyo foleni ni nini?
Bado haijakamilika mzee.Fly over vip haina msaada?
Si bora we ulitoka chalinze...mi nimetoka ubungo saa tatu..saiz sa nane bado hamna dalili ya kufika mbeziPoleeeh sanaah, ila hii road mmmh foleni ni every dai, kuna siku nilikuwa natoka mkoa kuja hapa [emoji551], tulifika chalinze SAA 2, hiyo foleni sitakaa nisahau ubungo tuliingia SAA 7. Khaaaaaah
Sasa weweunaongelea foleni ya sa 12 wakati hii crisis imeanza sa tatu usiku....hebu jilalie zako tuache na foleni yetu....mara ya nne hii nalala naamka niko palepale....magari yote yamezimwa kudadadekiHaifiki ubungo acha uongo!
Mimi nimebanwa na hiyo foleni tokea saa 12, by saa nne na nusu hivi nikatoboa, mbele huko kabla ya stop over ni kweupe...
Leo tunalala njian kiutaniutaniAisee, pole upo mbali sana. Nipo junction hapa kwa Yusuf na hamna gari inayotembea. Huenda watu wakaamkia barabarani leo.
Imefunguka mkuu, tumepita!!Leo tunalala njian kiutaniutani
Nishtue ikiisha naenda Morogoro asubuhi sana.Leo tunalala njian kiutaniutani
Huku nyuma bado....nadhani sabab kuna gari zipitanua zikaweka jam mbele...inamove kidogo saizImefunguka mkuu, tumepita!!
Aina noma mkuu...asubuhi itakua imeachia unless kuwe na crisis nyingineNishtue ikiisha naenda Morogoro asubuhi sana.
Naijua hiyo njia mkuu sema mi nmetokea ubungo ...Toboa njia ya msumi - goba -njia nne mkuu sio lazima upite "barabara ya morogoro road".
Hii ndo JamiiForum, kila mtu anaandika anachojisikia. Huyo jamaa anaweza akawa anaandika hayo akiwa nyumba ya pili tu, kumzuga mkewe. Shida sasa utamu umemkolea anaropoka kwa maandishi 😄Saa 7 bado mbona mkuu
Duuuh sawaaah bhanaaah lolHiyo "khaaaa " iko vyema sana