Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa wale watakaoweza kulipa kwa mwezi wataendelea kufurahia miundo mbinuAkili za kipuuzi sana hizi, yani badala ya kuboresha miundo mbinu we unawazuia watu haki zao za msingi za kutumia miundo mbinu?
Wapi huko magari yanazidi kushuka bei hayo magari? Wakati kodi ya magari inasimamia ukuchaBila kufanya hivyo,foleni haitaisha, magari yanaongezeka na yanazidi kushuka bei, huko tuendako kila mmoja atakuwa na usafiri utakaosababisha msongamano.
Hata mimi nilishawahi kuhisi hivyo, muda mwingine unajiuliza, ni kwanini trafiki wa buguruni na Tazara wasifanye coordination kwa radio call na kuita kwa pamoja? Unakuta wa buguruni ameruhusu lakini wa Tazara Kazuia, wa buguruni kazuia, waTazara ameruhusu, sasa si uwendawazimu huo?Pale Tazara ni kama ile foleni inatengemezwa na trafiki wa pale Buguruni na Tazara
Unafahamu kwamba nchi yenye deni kubwa zaidi la taifa ndio yenye uchumi mkubwa zaidi duniani?Kopeni pesa tena mjenge ingine,hii nchi tajiri sana
Foleni kubwa inasababishshwa na malori yanayotoka bandarini, tuanzishe bandari ya Bagamoyo.Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Pale walikosea toka mwanzo flyover sawa na zile njia za kukunja ok walichotakiwa ni kujenga Tunnel ya chini pale pale ili hawa wanaopitiliza wasisubiri kitu.Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Sio tukamilishe SGR ili malorry yachukulie mizigo huko mikoani badala ya kuja Dar? Au huko Bagamoyo ndio walikwambia wanataka foleni?Foleni kubwa inasababishshwa na malori yanayotoka bandarini, tuanzishe bandari ya Bagamoyo.
Je unafikiri hiyo train inaweza kubeba mzigo wote toka bandarini?Sio tukamilishe SGR ili malorry yachukulie mizigo huko mikoani badala ya kuja Dar? Au huko Bagamoyo ndio walikwambia wanataka foleni?
Hatulengi kubeba yote maana mingine ni ya hapahapa Dar, ila je, unahitaji kuondoa mallory yote ili kupunguza foleni? Au ni kupunguza malorry kwa kiwango cha kutosha?Je unafikiri hiyo train inaweza kubeba mzigo wote toka bandarini?
Hello
Una chuki sana na wenye magari.Njia rahisi kupunguza foleni ni kupunguza magari madogo.unapunza kwa kuongeza kodi kwa magari private magari binafsi. Serikali kupitia TRA Ongeza kodi
Safi sana mkuu. Na mazingira utakuwa umeyalinda. Uchafuzi wa hewa unaongezekaNjia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Roho ya kimasikini ni mbaya sana, inakufanya uone kama umasikini ni jambo jema,Njia rahisi kupunguza foleni ni kupunguza magari madogo.unapunza kwa kuongeza kodi kwa magari private magari binafsi. Serikali kupitia TRA Ongeza kodi