Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Nyinyi wachambuzi Fake Ndo mnaoiponza yanga. Folz ndo kakosa Yale magoli!?I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli??
Na bora hata cross zenyewe zingekuwa zinapigwa ila sasa team haipigi hata pasi kumi sawia kweli yanga tumefikia huko??
Kumfukuza ilikuwa halali kabisa alitakiwa afukuzwe week mbili zilizopita tu!
Ila kiburi cha hersi ndio kikamponza, huyu folz alikuja yanga kupata uzoefu yaani yanga ilimzidi ukubwa kabisa shwaini huyu!
Hivi hawa wamalawi ndio leo wakutunyanyasa hivi??
Hapana enough bora ameondoka tu na hjyu folz alikuwa mjinga tu ana rasiliamali kubwa ya wachezaji Ila alishindwa kuwatumia kabisa vizuri hapana hii sio yanga tuliyoizoea.
Ni muda wa kuleta kocha mwengine haraka au team aachiwe mabedi kwa week hii ijayo itakuwa sawa kabisa then. Aje kocha mpya sasa..
Hersi ajitafakari sana kama.wenger ndo alimshauri amlete huyo folz basi alimdanganya
Jamaa ni theorist tu sio idealistic man uwanjani ana mbinu za makaratasi tu yule folz ...
Yanga tuna nafasi ya kupita jumamosi!
Its Pancho
ππππNyinyi wachambuzi Fake Ndo mnaoiponza yanga. Folz ndo kakosa Yale magoli!?
ππππππππ.mbona mapema.
Shida sio folz nilishakwambia shida ni injinia.
Anaamini mpira unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja.
Wasaka Pension, πππππMichezaji mizee
Uongozi wa Yanga umetufanya baadhi ya mashabiki kuonekana kama mbumbumbu. Huyu kocha nilipomuona kwa mara ya kwanza kwenye picha, nilishangaa! Muonekano wake hauoneshi kama aliwahi kupiga hata danadana! Hovyo kabisa.I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli??
Na bora hata cross zenyewe zingekuwa zinapigwa ila sasa team haipigi hata pasi kumi sawia kweli yanga tumefikia huko??
Kumfukuza ilikuwa halali kabisa alitakiwa afukuzwe week mbili zilizopita tu!
Ila kiburi cha hersi ndio kikamponza, huyu folz alikuja yanga kupata uzoefu yaani yanga ilimzidi ukubwa kabisa shwaini huyu!
Hivi hawa wamalawi ndio leo wakutunyanyasa hivi??
Hapana enough bora ameondoka tu na hjyu folz alikuwa mjinga tu ana rasiliamali kubwa ya wachezaji Ila alishindwa kuwatumia kabisa vizuri hapana hii sio yanga tuliyoizoea.
Ni muda wa kuleta kocha mwengine haraka au team aachiwe mabedi kwa week hii ijayo itakuwa sawa kabisa then. Aje kocha mpya sasa..
Hersi ajitafakari sana kama.wenger ndo alimshauri amlete huyo folz basi alimdanganya
Jamaa ni theorist tu sio idealistic man uwanjani ana mbinu za makaratasi tu yule folz ...
Yanga tuna nafasi ya kupita jumamosi!
Its Pancho
Basi we mchambuzi orijino kamrudishe aendelee na ukocha wake pale yanga..Nyinyi wachambuzi Fake Ndo mnaoiponza yanga. Folz ndo kakosa Yale magoli!?
Tumekubaliana makocha wetu Wana vyeti na Wala hawana tattoo ni mwendo wa CV tuI salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli??
Na bora hata cross zenyewe zingekuwa zinapigwa ila sasa team haipigi hata pasi kumi sawia kweli yanga tumefikia huko??
Kumfukuza ilikuwa halali kabisa alitakiwa afukuzwe week mbili zilizopita tu!
Ila kiburi cha hersi ndio kikamponza, huyu folz alikuja yanga kupata uzoefu yaani yanga ilimzidi ukubwa kabisa shwaini huyu!
Hivi hawa wamalawi ndio leo wakutunyanyasa hivi??
Hapana enough bora ameondoka tu na hjyu folz alikuwa mjinga tu ana rasiliamali kubwa ya wachezaji Ila alishindwa kuwatumia kabisa vizuri hapana hii sio yanga tuliyoizoea.
Ni muda wa kuleta kocha mwengine haraka au team aachiwe mabedi kwa week hii ijayo itakuwa sawa kabisa then. Aje kocha mpya sasa..
Hersi ajitafakari sana kama.wenger ndo alimshauri amlete huyo folz basi alimdanganya
Jamaa ni theorist tu sio idealistic man uwanjani ana mbinu za makaratasi tu yule folz ...
Yanga tuna nafasi ya kupita jumamosi!
Its Pancho
Bado hujalia Boss. Huyu msomali mmempa blank cheque ndio maana anafanya anavyoona yeye. Hakuna check and balances Yanga Hersi ndio kila kitu.Anadiriki kuwapuuza kwa sababu hamuwezi kumfanya lolote.Aombe Yanga isifungwe ndio atawajua Gongowazi hawana uvumilivu.Karibu asilimia 60-70 ya wachezaji wapya tuliosajili hawaanza first eleven. Hii iliashiria yamkini tulikosea katika usajili hasa Kouma, Celestin, Conte na Doumbia. Lakini mimi naamini kocha alikuwa mzinguaji.
kubwa zaidi hakuna wakati nimemuona Ersi ni mjinga tu naye kama kumleta Folz. Tulidoubt sana sana kwa umri wake na experience yake. Hata yule Mjerumani alikuwa na CV mbovu kabisa na mwisho tukaona matokeo mabovu, sasa yule Mjerumani ana nafuu mbele ya Folz.
Timu ikawa inacheza hovyo, tukaamini hii international break itampa muda mzuri kocha mpya. Hersi kujiona yeye ni mungu mtu ndani ya Yanga akakaza matako kwamba hawezi pelekeshwa na mawazo ya mashabiki, yaani unaona misimamo yako binafsi ni bora kuliko maslahi ya timu. Hovyo kabisa.
Yanga tukishindwa kutinga hatua ya makundi lawama zote atazibeba Eng. Hersi kwa kiburi chake.Karibu asilimia 60-70 ya wachezaji wapya tuliosajili hawaanza first eleven. Hii iliashiria yamkini tulikosea katika usajili hasa Kouma, Celestin, Conte na Doumbia. Lakini mimi naamini kocha alikuwa mzinguaji.
kubwa zaidi hakuna wakati nimemuona Ersi ni mjinga tu naye kama kumleta Folz. Tulidoubt sana sana kwa umri wake na experience yake. Hata yule Mjerumani alikuwa na CV mbovu kabisa na mwisho tukaona matokeo mabovu, sasa yule Mjerumani ana nafuu mbele ya Folz.
Timu ikawa inacheza hovyo, tukaamini hii international break itampa muda mzuri kocha mpya. Hersi kujiona yeye ni mungu mtu ndani ya Yanga akakaza matako kwamba hawezi pelekeshwa na mawazo ya mashabiki, yaani unaona misimamo yako binafsi ni bora kuliko maslahi ya timu. Hovyo kabisa.
Tena International Break ndo ulikuwa wakati sahihi zaidi wa kocha mpya kukaa na timu chini. Hatimae tunamwona Folz anaendelea na timu. Katudharau sana huyu bwege.Yanga tukishindwa kutinga hatua ya makundi lawama zote atazibeba Eng. Hersi kwa kiburi chake.
Watu tumemsanua mapema tu kwamba kocha ni mweupe hana maajabu yeye kakaza fuvu la kujifanya ni jiniazi wa mpira.
Matokeo yake unakuja kufungwa na kitimu kutoka Malawi timu ya kawaida kabisa.
Hersi katukosea sana wanayanga.
Dah.! πππUongozi wa Yanga umetufanya baadhi ya mashabiki kuonekana kama mbumbumbu. Huyu kocha nilipomuona kwa mara ya kwanza kwenye picha, nilishangaa! Muonekano wake hauoneshi kama aliwahi kupiga hata danadana! Hovyo kabisa.