Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli??
Na bora hata cross zenyewe zingekuwa zinapigwa ila sasa team haipigi hata pasi kumi sawia kweli yanga tumefikia huko??
Kumfukuza ilikuwa halali kabisa alitakiwa afukuzwe week mbili zilizopita tu!
Ila kiburi cha hersi ndio kikamponza, huyu folz alikuja yanga kupata uzoefu yaani yanga ilimzidi ukubwa kabisa shwaini huyu!
Hivi hawa wamalawi ndio leo wakutunyanyasa hivi??
Hapana enough bora ameondoka tu na hjyu folz alikuwa mjinga tu ana rasiliamali kubwa ya wachezaji Ila alishindwa kuwatumia kabisa vizuri hapana hii sio yanga tuliyoizoea.
Ni muda wa kuleta kocha mwengine haraka au team aachiwe mabedi kwa week hii ijayo itakuwa sawa kabisa then. Aje kocha mpya sasa..
Hersi ajitafakari sana kama.wenger ndo alimshauri amlete huyo folz basi alimdanganya
Jamaa ni theorist tu sio idealistic man uwanjani ana mbinu za makaratasi tu yule folz ...
Yanga tuna nafasi ya kupita jumamosi!