Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uanze kusema ni ubora gani ili ujibiwe vizuriChadema hawana kosa
Ubora wa Magufuli ndio unaimaliza Chadema
Kile chadema walichokihibiri kimetatuliwa na Magufuli

Kusema ukweli CHADEMA miaka kuanzia 2010 kilikuwa ni chama kilichoonyesha matumaini ya kuwa chama mbadala wa CCM kwa kuaminiwa na watanzania walio wengi.
Kilichokiponza chama hiki bila kumung'unya maneno ni huruka na asili ya kabila la mmoja wa waasisi wa chama hicho ambao agenda yao kubwa ni kupiga hela!
Kikajaa kabila hilo hilo na kujinyakulia vyeo na nafasi nyeti za kupiga hela za ruzuku!
Kwa vile ruzuku hugawanywa kulingana na wingi wa wabunge pamoja na ada, michango ya wanachama na wahisani ilipelekea wenye chama kuona wanapiga hela ndefu kuliko biashara za baa, maduka, kitimoto, mahoteri.
Hiyo hela ndefu tena ya bure ikawavuta wengine (hao hao) wa huko huko tena mawaziri wakuu wastaafu kukimbilia CHADEMA kula urojo wa hela ya bure na kuaminishwa wataingia Ikulu.
Sasa angalia matokeo yakawa ndivyo sivyo na kuanza kugombania madaraka na ulaji ambapo yule aliyeaminishwa kuwa Rais alipokosa Urais karudi CCM na yule aliyetaka kuwa mwenyeketi wa CHADEMA ili apige ruzuku alipoambiwa "Sumu ailambwi" kakimbilia tena CCM na mwenyekiti wa siku zote kagandia kwenye kiti cha Uenyekiti wa chama ili aendelee kula ruzuku na kuwatupia makombo wanaomshobokea huku wakiacha ofisi za CHADEMA nchi nzima wakifugia kuku na mbuzi na nyingine kunyang'anywa kwa kutolipa kodi ya pango.
Jamani upinzani Tanzania baado sana hasa hasa vyama vya hawa mabwashee ni kupiga hela na ukiwapa nchi wataiuza mchana kweupe!
Tuwaache wabobee kwenye biashara lakini kuwapa nchi hapana kwa kweli!!
Una uhakika na hizo takwimu bwashee?Mbona wanna madiwani 1480 ukitoa madiwani 142 walojiuzulu mpska Sasa wanabaki wangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema serikali INA Vyombo dhaifu Vya kufuatilia wezi wa fedha za umma? Unafahamu kuwa ruzuku hukaguliwa na CAG? Mbona hatujawahi sikia CAG akitangaza kuwa kuna wizi wa hela huko Chadema? Inamaana Wewe unajua zaidi kuliko CAG? Tujitahidi kutunza Afya ya Akili.Kusema ukweli CHADEMA miaka kuanzia 2010 kilikuwa ni chama kilichoonyesha matumaini ya kuwa chama mbadala wa CCM kwa kuaminiwa na watanzania walio wengi.