For CHADEMA Followers: What comes around goes around

Watanzania mmekuwa wanafiki na waongo kama huyu mleta mada!!
Kawe na wewe hamuoni kitu gani dola inafanya kwa chadema? Kuanzia watu kumiminiwa risasi, watu kupotezwa na kutekwa, kufunguliwa kesi za kubambikwa viongozi wote wana kesi ina maana nyie hamuoni?

Mikutano na makongamano yamezuiriwa viongozi wanatishwa wanakamatwa na kuwekwa ndani!!
Ushahidi umetolewa madiwani wamenunuliwa kwa rushwa, waliofanya hivyo wamepandishwa vyeo.
Acheni unafiki na upotoshaji vijana. Namna hiyo rushwa itakwishaje?

Kama mna uhakika na utawala wenu basi ruhusuni iundwe tume huru ya uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki.

Vinginevyo ni udekiteita na ukandamizaji mtupu!!
 
nani akabidhi nchi kwa fisi wa kimangi?
 
Unataka kusema serikali INA Vyombo dhaifu Vya kufuatilia wezi wa fedha za umma? Unafahamu kuwa ruzuku hukaguliwa na CAG? Mbona hatujawahi sikia CAG akitangaza kuwa kuna wizi wa hela huko Chadema? Inamaana Wewe unajua zaidi kuliko CAG? Tujitahidi kutunza Afya ya Akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…