Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
- Thread starter
-
- #81
Rally za Tanzania zinakuwa na ushindani mdogo zinaingia gari 14 kisha zinamaliza gari 6.
Saizi wameogopa kuwaalika wageni, maana Rally za karibuni wageni ndio wamekuja kuchukua ushindi.
Kuna Muna Singh jr, Manvir Brayan na Karan Patel hawa wakija kucheza Rally wanaondoka na ubingwa wao hapa nchini.
Sprint kama hizi ukimpa Sunny Bird au Prezoo wanachezea gari mpaka mashabiki mnahisi mtadaiwa pesa ya kiingilio.Wale mlioko Moshi Event hiyo hapoView attachment 895301
Evo 10 kwenye mchanga inapasua vizuri.Hahaha hii ya mzizima immetesa sana watu.. Maan mchanga ulikuw mwingi san
Sprint kama hizi ukimpa Sunny Bird au Prezoo wanachezea gari mpaka mashabiki mnahisi mtadaiwa pesa ya kiingilio.
Evo 10 kwenye mchanga inapasua vizuri.
Tarehe 20 na 21/10/2018.Masinga tt n lin guys?
EnxTarehe 20 na 21/10/2018.
Ambayo ni kesho na kesho kutwa.
Randeep Bird "Sunny" alimaliza nafasi ya ngapi.
Sunny yupo vizuri sana. Dharam Pandya hii Subaru Gvb ni left hand drive itamchukua muda sana kuizoea wakati wa mashindano.Alimaliza was tano gari ilikwama kwenye mchanga baada ya kumgonga Dharam alipoteza almost thirty mins
Kupiga msele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba unifundishe kupiga msele kinadharia.
Nikiwa na gari kama passo, noah au ist.
Je kila gari inaweza kupiga msele?
Sunny yupo vizuri sana. Dharam Pandya hii Subaru Gvb ni left hand drive itamchukua muda sana kuizoea wakati wa mashindano.
Bora angehamia kwenye Evo 10Sidhani gvb in nzito kwenye take off
Ni wewe na gari yako mpaka Passo na Kirikuu zina drift.Kupiga msele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndio drifting??
Masinga TT imeanza Tanzania tumepeleka gari za kutosha.View attachment 904566