For petrol heads wote

For petrol heads wote

Hahaha hii ya mzizima immetesa sana watu.. Maan mchanga ulikuw mwingi san
Rally za Tanzania zinakuwa na ushindani mdogo zinaingia gari 14 kisha zinamaliza gari 6.

Saizi wameogopa kuwaalika wageni, maana Rally za karibuni wageni ndio wamekuja kuchukua ushindi.
 
Manvir alikuj na ile scoda.. Kule Tanga kama sikosei bagamoyo.. Aliwapeleka balaa.. Hii rally ya mzizima.. Huwel kawakimbiza kila section
Kuna Muna Singh jr, Manvir Brayan na Karan Patel hawa wakija kucheza Rally wanaondoka na ubingwa wao hapa nchini.
 
Wale mlioko Moshi Event hiyo hapo
IMG-20181012-WA0001.jpeg
 
Alimaliza was tano gari ilikwama kwenye mchanga baada ya kumgonga Dharam alipoteza almost thirty mins
Sunny yupo vizuri sana. Dharam Pandya hii Subaru Gvb ni left hand drive itamchukua muda sana kuizoea wakati wa mashindano.
 
Tufail akibadilisha gari atawasumbua sana. Gari yake imepitwa na muda ila anajitahidi kuonyesha uwezo wake wa kuendesha gari.
 
Naomba unifundishe kupiga msele kinadharia.

Nikiwa na gari kama passo, noah au ist.

Je kila gari inaweza kupiga msele?
Kupiga msele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi ndio drifting??
 
Back
Top Bottom