kina mbowe wakati ule walishinda kwenye majimbo yao,tofautisha wabunge wa kuteuliwa na wakuchaguliwa,hawa wamejiandikia majina yao na kupeleka bungeni kama wabunge wa viti maalum bila vikao vya chamaYou know it is quite interesting that miaka yote CHADEMA haijawahi kukubaliana na matokeo ya Uchaguzi kwa ngazi ya Urais lakini Mbowe, Mnyika and the rest walienda Bungeni kama Wabunge hawajawahi kususia. Ila this one time ambapo wanaume wote “wameshindwa” uchaguzi ndo ubunge eti unasusiwa mazimaa…
Sipo defensive nachojaribu kukueleza ni kwamba hawawezi imarisha ACT Bara maana tayari kuna mizizi mikubwa sana ya CHADEMA kwa miaka 30 kama ambavyo CUF Bado Ina mizizi kusini licha ya wabunge wake wengi kukimbilia ACT!!Mkuu mbona umeenda nje ya topic na uko too defensive? Wapi nimesema watakuwa tishio kwa CHADEMA au kupambana nayo? Labda kama umequote kimakosa.
Mbowe jana kasema CHADEMA haiwezi kuwa ilivyo milele, akataka na vyama vingine viheshimiwe kwani vinaweza kuchukua nafasi ya CHADEMA ya sasa. Kwenye siasa kila kitu kinawezekana mkuu. Usitoe conclusive sentences, utakuja kuumbuka bure.Sipo defensive nachojaribu kukueleza ni kwamba hawawezi imarisha ACT Bara maana tayari kuna mizizi mikubwa sana ya CHADEMA kwa miaka 30 kama ambavyo CUF Bado Ina mizizi kusini licha ya wabunge wake wengi kukimbilia ACT!!
Ndio najaribu kuonyesha hata zitto, Kafulila, na Mkosamali hawakuweza ipunguzia chochote CHADEMA kule Kigoma ndio sembuse nchi nzima kwa ku rely kwa Hawa viti maalum??
Mahakamani wanaenda kupigania uanachama wao au ubunge?Hapa nadhani watakimbilia Mahakamani kama alivyofanya Zitto miaka ileeeee!! Wakienda Mahakamani wanazuia maamuzi ya Baraza Kuu kutekelezwa na wanafungua kesi ya kupinga mchakato wa kuwafukuza. Wanarudi Bungeni kuendelea na Ubunge wao, kedi inaendeshwa miaka 3 hivyo wanamaliza miaka 5!! Ngoma sasa ni kwa chama, watachukua ruzuku ama la??
Kwahiyo magufuli alipomfukuza Sophi Simba ilikuwa chama Cha malaika kinachojali wababa?Chama cha kikatili mno.
Wanadharau na kunyanyasa wanawake.
Ili CHADEMA isimame kwenye haki kwa mujibu wa katiba, akina Mdee wamepata walichostahili.Chama cha kikatili mno.
Wanadharau na kunyanyasa wanawake.
Ahsante, ruhusa uliyopewa imeisha, sasa watakiwa kurudi kwenye lindo chattle, ili ukamalizie wiki yenuYou know it is quite interesting that miaka yote CHADEMA haijawahi kukubaliana na matokeo ya Uchaguzi kwa ngazi ya Urais lakini Mbowe, Mnyika and the rest walienda Bungeni kama Wabunge hawajawahi kususia. Ila this one time ambapo wanaume wote “wameshindwa” uchaguzi ndo ubunge eti unasusiwa mazimaa…
Umeona vyema. Lakini hivi binti wa Sarungi hana chama kweli?Bila shaka Mdee anaipenda sana Chadema. Hata Matiko. Lakini kwa alichokifanya kimemuondolea thamani mbele ya wanachama wengi wa Chadema ambao waliamini kuwa yeye na wenzake ni wafia chama. Mbowe angeanzaje na reconciliatory statement kwa watu ambao wamekataa kabisa kuonyesha kuwa wanajutia walioyafanya. Wao walitaka rufaa yao ikubaliwe na waendelee na ubunge wao, kitu ambacho ni impossible. Naamini kabisa kuwa wangejiuzuru ubunge wakati Mbowe yuko ndani, chama kingewasamehe.
Chadema haiwezi kuyumba. Itajengeka zaidi baada ya kuthibitisha wanasimamia principles. Chadema imethibitisha kuwa inaweza ku survive bila ya wakina Halima lakini sidhani kama wakina Halima wana future nje ya Chadema. Ushauri wangu kwao ni kuwa wangekaa kimya na kuhamia kwenye punditry ambako sasa wana nafasi nzuri ya kusimamia haki bila kuegemea chama chochote. Wamuige binti ya Sarungi. Kuna maisha nje ya vyama vya siasa.
Amandla...
Hana chama.Umeona vyema. Lakini hivi binti wa Sarungi hana chama kweli?
Rufaa ipi tena?Hawahami wala hawaondoki bungeni sasa labda hadi 2025 January
Tusubiri rufaa😅😅😅
Hapa nadhani watakimbilia Mahakamani kama alivyofanya Zitto miaka ileeeee!! Wakienda Mahakamani wanazuia maamuzi ya Baraza Kuu kutekelezwa na wanafungua kesi ya kupinga mchakato wa kuwafukuza. Wanarudi Bungeni kuendelea na Ubunge wao, kesi inaendeshwa miaka 3 hivyo wanamaliza miaka 5!! Ngoma sasa ni kwa chama, watachukua ruzuku ama la??
Rufaa ipi tena?
Kama alishindwa katili mwendazakeSubiri uone mambo
Kama alishindwa katili mwendazake
Huyu wa sasa ndio hawezi kabisa
Ya mahindiPumba gani hii umeandika?
Wizi ni Wizi Tu! Viti maalum vingekuwa vina-accomodate wanaume sasa hivi story ingekuwa nyingine. Amini Amini nakwambia Mwenyekiti angekuwa Bungeni!miaka yote CCM walikuwa wanaiba kura ila 2015 CCM waliiba mfumo mzima wa kura
Lakini hivyo 19 ingekuwa vina-accomodate na wanaume sasa hivi akina Mbowe, Mnyika wangekuwa Bungeni. Ni ubinafsi tu unawasumbua hawa wanaume!Sasa upate wabunge 120 na 40% ya kura za Urais pamoja na 30% ya Halmashauri nchi nzima then ususe??? That is something.
Ila unaporwa majimbo yoteee afu Una settle kwa viti maalum 19?? Aisee hayo ni madharau makubwa sana
My point is, hivyo viti 19 ni vile vinahusu wanawake tu ndo maana wamepata jeuri ya kuvisusia. Kwa jinsi walivyoshupaliaga shingo kuibwa kwa kura za Lowassa, wangesusa kipindi kile kama kweli wana ubavu. Unasusa kitu kwa sababu hakikunufaishi halafu unataka tukuone hero?kina mbowe wakati ule walishinda kwenye majimbo yao,tofautisha wabunge wa kuteuliwa na wakuchaguliwa,hawa wamejiandikia majina yao na kupeleka bungeni kama wabunge wa viti maalum bila vikao vya chama