For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

that is suicidal.

wakae kitako wabaki CHADEMA watulie. wajenge chama. wajipange kwa ajili ya 2025.
 
Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa.

Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za vyama, hivyo kulazimika kutetea ubunge wao mahakamani kwa ajili ya kusogeza siku mbele kuelekea 2025.

Labda wengi wanajiuliza au wengine wanadhani huu ndio mwisho wa kisiasa kwa wanasiasa hawa wazoefu na machachari. Kisiasa, hesabu nzuri zaidi ni wanawake hawa kuhamia chama cha ACT ili wapate jukwaa halali la kuendelea kuwa relevant kwenye siasa za upinzani na uwakilishi hapa nchini.

Jambo la muhimu zaidi, maamuzi ya CHADEMA yaheshimiwe.
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
 
Hapa nadhani watakimbilia Mahakamani kama alivyofanya Zitto miaka ileeeee!! Wakienda Mahakamani wanazuia maamuzi ya Baraza Kuu kutekelezwa na wanafungua kesi ya kupinga mchakato wa kuwafukuza. Wanarudi Bungeni kuendelea na Ubunge wao, kedi inaendeshwa miaka 3 hivyo wanamaliza miaka 5!! Ngoma sasa ni kwa chama, watachukua ruzuku ama la??
Nakumbuka Zitto alienda Mahakamani kupinga kufukuzwa na Kamati Kuu, sio na Baraza Kuu.

Amandla...
 
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?, dhulma za aina hii, husababisha karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.
Nadhani Pascal hauielewi Karma. Kwa nini usiseme kinachowapata ni karma kwa wao kutoitendei haki Chadema? Dhulma gani wamefanyiwa? Hawa walikuwa ma mwaka mzima wa kusahihisha makosa yao. Ama wangetoa hadharani uthibitisho kuwa wao walifuata taratibu zote ( ambayo ingekuwa ngumu ukizingatia kuna mmoja alitolewa mahabusu) ili jamii it ambae kuwa wanaonewa.

Alternative nyingine ilikuwa ni kujiuzuru ubunge na kukiri kuwa walikosea. Kesi ya Mbowe ilikuwa fursa nzuri sana ya kujiuzuru.Naamini wangejiuzuru chama kilichokuwa chao kingewasamehe. Wao waliamua kuwa hawawezi kuachia ubunge na kuwa wao ni zaidi ya Chadema na hivyo kuliachia Baraza no alternative bali kuwafukuza.

Tulipokuwa wadogo tulipenda kuwaambia wakubwa tuliowachokoza " ukinipiga unanionea na ukiniachia unaniogopa". Jawabu kila wakati lilikuwa ni kukimbizwa na kula konzi! Halima na wenzake wakae kimya wajipange upya.
 
Rufaa imeshasikilizwa na baraza kuu ndio chombo Cha mwisho. Halafu wale kwa Sasa hawana chama na pia kuhusu kuondoka bungeni hilo ni juu ya spika. Ila chadema kwa Sasa Ina mbunge mmoja tu kenan wa nkasi.

Tutulie kuona wataondoka lini bungeni😅😅😅
 
Nadhani Pascal hauielewi Karma. Kwa nini usiseme kinachowapata ni karma kwa wao kutoitendei haki Chadema? Dhulma gani wamefanyiwa? Hawa walikuwa ma mwaka mzima wa kusahihisha makosa yao. Ama wangetoa hadharani uthibitisho kuwa wao walifuata taratibu zote ( ambayo ingekuwa ngumu ukizingatia kuna mmoja alitolewa mahabusu) ili jamii it ambae kuwa wanaonewa.

Alternative nyingine ilikuwa ni kujiuzuru ubunge na kukiri kuwa walikosea. Kesi ya Mbowe ilikuwa fursa nzuri sana ya kujiuzuru.Naamini wangejiuzuru chama kilichokuwa chao kingewasamehe. Wao waliamua kuwa hawawezi kuachia ubunge na kuwa wao ni zaidi ya Chadema na hivyo kuliachia Baraza no alternative bali kuwafukuza.

Tulipokuwa wadogo tulipenda kuwaambia wakubwa tuliowachokoza " ukinipiga unanionea na ukiniachia unaniogopa". Jawabu kila wakati lilikuwa ni kukimbizwa na kula konzi! Halima na wenzake wakae kimya wajipange upya.
Jambo moja nafahamu nalo ni kwamba Halima Mdee ni CHADEMA hadi kwenye damu. Hata kama atatoka, mapenzi yake na imani yake kwa CHADEMA itaendelea kuwa moyoni mwake. Mpende msipende, kwa Halima Mdee CHADEMA imepoteza sana sana. Ningekuwa mimi ni Kiongozi CHADEMA nisingekubali kumwachia Halima. Angalieni wenzenu wa CCM, kuna mambo yalitokea ila hata kama wanafukuzana lakini wanakaa wanayajenga yanaisha wanasonga mbele kisiasa.

Kwa Mbowe kusamehewa na kufutiwa kesi yake basi naye angekuja na reconciliatory statement za kuwasamehe hawa wadada na kuanza upya. In short CHADEMA itayumba.
 
Walitakiwa waende mahakamani kabla baraza kuu halijakaa. Kwa Sasa sio wanachama watafanya nini. Unadai ubunge wakati sio mwanachama?.
Unazuia kuondolewa Ubunge na kufungua kesi ya msingi ya kupinga kufukuzwa uanachama!!
 
Jambo moja nafahamu nalo ni kwamba Halima Mdee ni CHADEMA hadi kwenye damu. Hata kama atatoka, mapenzi yake na imani yake kwa CHADEMA itaendelea kuwa moyoni mwake. Mpende msipende, kwa Halima Mdee CHADEMA imepoteza sana sana. Ningekuwa mimi ni Kiongozi CHADEMA nisingekubali kumwachia Halima. Angalieni wenzenu wa CCM, kuna mambo yalitokea ila hata kama wanafukuzana lakini wanakaa wanayajenga yanaisha wanasonga mbele kisiasa.

Kwa Mbowe kusamehewa na kufutiwa kesi yake basi naye angekuja na reconciliatory statement za kuwasamehe hawa wadada na kuanza upya. In short CHADEMA itayumba.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itayumba????
 
You know it is quite interesting that miaka yote CHADEMA haijawahi kukubaliana na matokeo ya Uchaguzi kwa ngazi ya Urais lakini Mbowe, Mnyika and the rest walienda Bungeni kama Wabunge hawajawahi kususia. Ila this one time ambapo wanaume wote “wameshindwa” uchaguzi ndo ubunge eti unasusiwa mazimaa…
miaka yote CCM walikuwa wanaiba kura ila 2015 CCM waliiba mfumo mzima wa kura
 
Back
Top Bottom