For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

sio mbaya akiwa kasisi kama akikosa mchumba unaweza kuwa paroko wa parokia mojawapo

Kaka huko kweny u-baba paroko noma.......! I trust kuna wachumba wengi sana out there and will get one!
 
AHAHAHAHAHAHA!
nimekusoma
 
Mie pia naruhusiwa?
Nina mtoto mmoja nina
30 years
Niliolewa si kwa ndoa nikaachika
Ninafikiliwa ??
 
Mie pia naruhusiwa?
Nina mtoto mmoja nina
30 years
Niliolewa si kwa ndoa nikaachika
Ninafikiliwa ??

...vigezo vingine vipi? ''mliachana'' au uliachwa? You never know .....chemistry ikikubali mambo yanaweza kuwa mazuri.....rusha email or PM!
 
Ama kweli mchakato wa kupata mchumba jf ni mgumu kama mchakato wa kutengeneza katiba mpya.
 
Habari lako binafsi taluma ushauri tu si lazima uubebe. Kwa sababu umeshaacha ungechukua alieachika mwenzio mtaenda sambamba sana. Ila du watu mzae watoto wawili halafu muachane hii ni mbaya sana kwa watoto.
 
Ama kweli mchakato wa kupata mchumba jf ni mgumu kama mchakato wa kutengeneza katiba mpya.

Husninyo,

ni siku mbili tu zimepita tangia kuweka haka kabango hapa, so ili kupata the very right one nafikiri itachukua muda......!labda itokee coincidence na upande wa pili alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa zangu.....!
 
Habari lako binafsi taluma ushauri tu si lazima uubebe. Kwa sababu umeshaacha ungechukua alieachika mwenzio mtaenda sambamba sana. Ila du watu mzae watoto wawili halafu muachane hii ni mbaya sana kwa watoto.

...true ni mbaya kwa watoto but we only have one opportunity hapa duniani ''we only live once'' ...so always we need to fight for happiness sio eti kuvumilia matatizo yanayoweza kuepukika!

...aliyeachika? no hiyo formula siyo lazima Maty.....key thing ni kupendana zaidi! mbona kuna couple nyingi sana za hivo?
 
Taluma na wewe vigezo vyako vigumu mbona mnachagua hivyo lakini???
 
Husninyo,

ni siku mbili tu zimepita tangia kuweka haka kabango hapa, so ili kupata the very right one nafikiri itachukua muda......!labda itokee coincidence na upande wa pili alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa zangu.....!

kwa sababu wanawake wako wengi utapata ambae anatamani kuolewa na c ajuae maana ya ndoa, lakini ajuae maana ya ndoa alieachika ndio atataka sifa kama hizo zako, tatizo unafikiri mke uliemuacha unaweza ukapata kama yeye inategemea kuna wengine wamekimbia tabu ulizokimbia wewe kwa hao wanaume waliowahi ishi nao.

:-* kwani katika kusoma kwako kote mpaka chuo kikuu , na kazi zako ulizofanya ni kweli hujaona mwenye ivo vigezo? :-*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…