For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Lkn mifumo yote hio ni Takataka pindi umma ukiamua kufanya mabadiliko,hio ilifaa kizazi mfu cha zamani na sio cha sasa.Nguvu ya upepo wa mabadiliko iliyoanzia afrika kaskazini ingali ikisambaa afrika nzima hata Kama sio kwa speed
I agree.

Bila umma kutumia nguvu ya ziada, ni ngumu sana kuwang'oa hawa maharamia.

Vinginevyo, tupate Katiba mpya na tubadilishe mfumo mzima wa kiserikali na kiutawala (kitu ambacho sidhani kama kitatokea kirahisi rahisi).

Ndio maana mwenyewe anasema mizizi ya muhimili imejichimbia chini.

Na ni kweli.
 
Katiba iliyopo uwafavor Hawa wezi ni mpaka wawe nje ya mfumo ndo uona umuhimu wa katiba mpya.
 
Kushindwa katika uchaguzi huu ambao dhuluma imefanyika kila mahali mpaka kuzuia SMS za simu?Huwa kuna kushindwa katika uchaguzi wa dhuluma?Oct 28 tunachukua haki yetu wala hatusubiri kupewa na mtu yeyote!

Mnatuhakikishia hatutaibiwa kura tutashinda
Mara hamuwezi kushinda dhulma....

Wichi is wichi sasa?
 
We can't negotiate with terrorists chadeomas.

Kikwete alijitahidi kuwaweka karibu na kila aiwaita ikulu wajadili wakitoka wanaongea uongo na kumgeuka eti aliwaita kuwabembeleza na kumuita dhaifu .

Wacha jpm akaze tu hakuna mjadala


Punguza mihemuko
 
Pole Paskali! Ila hata kule kijijini kwetu, hakuna anayemtaka kofuri wako; sijui unatoka Kijiji gani ambacho bado watu wake wamelala? Asipoiba kura na kufanyan kila aina ya hujuma, kama ambavyo ameishaanza, kofuri wako hapiti!
 
Moja ya mabandiko yenye Afya kabisa.
Binafsi naunga mkono hoja
Ishu inakuja namna ambavyo umma umeshaaminishwa kwamba LISU ni msaliti.
Hapo tu kwanza.
 
Hapana Mkuu! Mimi naona Focus yetu iendelee kuwa ya kupata TUME HURU na KATIBA MPYA ambayo itajumlisha hayo unayopendekeza.

Otherwise huko mbeleni kadri siku zinavyokwenda mustakabali wa Taifa letu utakuwa mashakani.
Katika nchi masikini watu wakishafikia hatua ya kuamini kuwa wanakuwa maskini kwa sababu ya Chama tawala,ujue kuna hatari mbeleni wanaweza kuamua lo lote! (TUJIFUNZE KWA WENZETU-Sudani,Zimbabwe,Misri,Libya,nk)

Mwisho usidanganyike eti kule Vijijini bado hawajui kinachoendelea,kutokana na asilimia kubwa ya watu kuwa na simu za mkononi hakuna kinachofanyika mjini wasikijue.
Walio mjini ndiyo wanasambaza sumu vijijini dhidi ya Utawala uliopo!
 
Mkuu bado unaamini vyama vya upinzani havijafika vijijini? Jaribu kufuatilia ndugu utaona. Unapotaja Tarime Vijijini mfano unategemea hapo ni mjini?
 
Wanabodi,
nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.
Paskali
Naamini ushauri huu utazingatiwa, Zitto na Lissu ni muhimu sana wawepo Bungeni kulichangamsha Bunge la CCM.
P
 
Naamini ushauri huu utazingatiwa, Zitto na Lissu ni muhimu sana wawepo Bungeni kulichangamsha Bunge.
P
Mkuu waswahili wanasema "huwezi kuona umuhimu wakitu pale unapokuwa nacho,ukiki kosa ndio utajua umuhimu wake" wacha bunge lote liwe la CCM kama walivyo taka.
umuhimu wa mtu unaoneka kipindi hayupo.
 
Wakati wa kampeni ulimsikia dharau, kebehi, majigambo, personal attacks, na kujifaragua yeye ni msomi sijui, ana exposure kuwaona hadi watanzania know nothing. Hafai.

Yeye anadharau kila mtu hadi taasisi si polisi, si tume, si habari yaani ujinga ujinga tu. Finally kasahau University watu wenye akili hawasomi sheria. Let him get lost.
 
Hivi nani anawaphila hapo Lumumba mpaka mnakosa akili kiasi hiki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…