Lkn mifumo yote hio ni Takataka pindi umma ukiamua kufanya mabadiliko,hio ilifaa kizazi mfu cha zamani na sio cha sasa.Nguvu ya upepo wa mabadiliko iliyoanzia afrika kaskazini ingali ikisambaa afrika nzima hata Kama sio kwa speed
Kushindwa katika uchaguzi huu ambao dhuluma imefanyika kila mahali mpaka kuzuia SMS za simu?Huwa kuna kushindwa katika uchaguzi wa dhuluma?Oct 28 tunachukua haki yetu wala hatusubiri kupewa na mtu yeyote!
Pole Paskali! Ila hata kule kijijini kwetu, hakuna anayemtaka kofuri wako; sijui unatoka Kijiji gani ambacho bado watu wake wamelala? Asipoiba kura na kufanyan kila aina ya hujuma, kama ambavyo ameishaanza, kofuri wako hapiti!
Hapana Mkuu! Mimi naona Focus yetu iendelee kuwa ya kupata TUME HURU na KATIBA MPYA ambayo itajumlisha hayo unayopendekeza.
Otherwise huko mbeleni kadri siku zinavyokwenda mustakabali wa Taifa letu utakuwa mashakani.
Katika nchi masikini watu wakishafikia hatua ya kuamini kuwa wanakuwa maskini kwa sababu ya Chama tawala,ujue kuna hatari mbeleni wanaweza kuamua lo lote! (TUJIFUNZE KWA WENZETU-Sudani,Zimbabwe,Misri,Libya,nk)
Mwisho usidanganyike eti kule Vijijini bado hawajui kinachoendelea,kutokana na asilimia kubwa ya watu kuwa na simu za mkononi hakuna kinachofanyika mjini wasikijue.
Walio mjini ndiyo wanasambaza sumu vijijini dhidi ya Utawala uliopo!
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya political awareness ya Watanzania interns of political awakening, there is no way, mpinzani anaweza kushinda urais wa nchi hii, hivyo tunaposema CCM itatawala milele, naomba mtuelewe.
Katika uchaguzi huu, kwa upande wa urais, ushindani mkali ni wagombea mawili tuu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli wa CCM na Tundu Antipacy Lissu wa Chadema.
Kutokana na sifa hiyo ambayo Lissu anamzidi Magufuli, ni kweli mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu, ina hamasa kubwa na makundi makubwa ya watu, ambayo kisasa wanayaita nyomi, hali inayopelekea watu wajinga wasiojua siasa za kweli za nchi, kudhani hayo makundi ya watu ndio kura hizo! hivyo kujiaminisha Tundu Lissu ndiye anakwenda kushinda urais!, masikini hawa, hawajui decisive votes kwa uchaguzi wa Tanzania, zinatoka wapi!.
Determinant ya kura za ushindi kwa uchaguzi wa Tanzania, ni kura za watu wa vijijini. Chama pekee kilichowafikia Watanzania wote hadi vijijini ni CCM, vyama vya upinzani ni maarufu mijini tuu, hizo nyomi za hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni, sio kura hizo, kura zenyewe halisi ziko vijijini na huko ndiko CCM ilipo, hivyo kura zote za vijijini ni za CCM.
Ukiondoa hizo kura za vijijini ambazo tayari ziko kibindoni kwa CCM, na kama hii hoja hapa ni kweli.
Then there is no way Upinzani unaweza kushinda uchaguzi huu, hivyo mshindi wa uchaguzi Mkuu huu ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli na CCM. Kwa vile there's no way Tundu Lissu anaweza kushinda uchaguzi huu, kuna mwana jf mwenzetu huyu Kishimbe wa Kishimbe , amatoa mawazo mazuri sana kwenye bandiko hili.
ameshauri
Mkuu Kishimbe wa Kishimbe , kwanza asante kwa objectivity
3. Hoja yako ya tatu, ni hoja ya msingi sana, nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%, tubadili katiba, tuweke clause, wagombea wote wa urais, watakao pata kura zaidi ya asilimia 10%, wawe wabunge wa taifa automatically.
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as...
www.jamiiforums.com
nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.
Kutokana na Watanzania wenzetu wengi kuwa na too great expectations kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi huu wakati sisi tunaojua reality ya ushindi wa uchaguzi sio tuu ni the votes casted, but the votes counted, hivyo the determinant of victory is not vote cast but vote count. Ili Watanzania wenzetu watakapo kutana na ukweli huu kwenye matokeo, wasije kuchanganyikiwa kwa despair kwa kutoamini macho yao na masikio yao kwa kitakacho tokea, bandiko hili ni msaada mkubwa kwao, kuzuia panic na kupata pressure, kwasababu they knew before, waliambiwa.
Kumpigia kura mtu ambaye hatashinda, ingawa nayo ndio kutumia haki yako ya kidemokrasia kuwachagua viongozi unaowataka, lakini intems of utawala wa nchi, unakuwa umepoteza kura yako.
Sasa ili kuwasaidia Watanzania wenzetu wasipoteze kura zao, Jee mnaonaje tumshauri Rais Magufuli ambaye yeye ndiye mgombea wa chama cha ushindi, CCM, atoe a solid promise kwa Watanzania, kuwa atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, kwenye zile nafasi zake kumi za wabunge wa kuteuliwa, hivyo waliopanga kumpigia kura Tundu Lissu, wasiwe na wasiwasi, Tundu Lissu hata asiposhinda urais, bado atakuwa ni Mbunge wa kuchaguliwa na kuwatumikia wananchi, hivyo natoa wito, badala ya kumpigia kura Tundu Lissu, hizo kura za Lissu, mpigie Magufuli, kisha Magufuli atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, hivyo hapo unakuwa hujapoteza kura yako.
Hii hoja ya wagombea wote wa urais watakaopata zaidi ya asilimia 10% ya kura za urais, kuingia Bungeni automatically, kutajenga sana a national unity.
Mnaonaje hili, la kura za Lissu apigiwe Magufuli?.
Wanabodi,
nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.
Paskali
Mkuu waswahili wanasema "huwezi kuona umuhimu wakitu pale unapokuwa nacho,ukiki kosa ndio utajua umuhimu wake" wacha bunge lote liwe la CCM kama walivyo taka.
umuhimu wa mtu unaoneka kipindi hayupo.
Wakati wa kampeni ulimsikia dharau, kebehi, majigambo, personal attacks, na kujifaragua yeye ni msomi sijui, ana exposure kuwaona hadi watanzania know nothing. Hafai.
Yeye anadharau kila mtu hadi taasisi si polisi, si tume, si habari yaani ujinga ujinga tu. Finally kasahau University watu wenye akili hawasomi sheria. Let him get lost.
Wakati wa kampeni ulimsikia dharau, kebehi, majigambo, personal attacks, na kujifaragua yeye ni msomi sijui, ana exposure kuwaona hadi watanzania know nothing. Hafai.
Yeye anadharau kila mtu hadi taasisi si polisi, si tume, si habari yaani ujinga ujinga tu. Finally kasahau University watu wenye akili hawasomi sheria. Let him get lost.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.