Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kweli hapo ukiendeleza pia ujue umerithishwa hekima na akili za kujitumaHakuna kitu kizuri kama mzazi kurithisha utajiri endelevu
Wengine nyumba tu anamuua baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hapo ukiendeleza pia ujue umerithishwa hekima na akili za kujitumaHakuna kitu kizuri kama mzazi kurithisha utajiri endelevu
Sababu ya umasikini uliokithiriKweli hapo ukiendeleza pia ujue umerithishwa hekima na akili za kujituma
Wengine nyumba tu anamuua baba
Na kutokuwa na Imani piaSababu ya umasikini uliokithiri
Oooooh... But mi ni mwislamu pia. Na Mo Dewj ni muislamu pia.Usisahau muislamu yeyote ni msemaji wa bakhresa
Tunaendeshwa na chuki na ushabiki.Tukiondoa chuki pitieni kwenye website za kampuni husika mtaona mauzo ya bidhaa MO kamzidi SSB mbali
Uislamu wa bakhresa na mo tofauti sanaOooooh... But mi ni mwislamu pia. Na Mo Dewj ni muislamu pia.
Tofauti ni nini?Uislamu wa bakhresa na mo tofauti sana
We unaufahamu utajiri wote wa Mo? Unazijua biashara zake zote?Ripoti za kubumba, SSB ndo tajiri namba moja nchini kwasababu kila kitu kinaonekana kwa macho. Huwenda SSB hataki wazi utajiri wake wote
Mo ananunua viewers, ooh sorry mo anawahonga Forbes ili wamtaje aweze kukopesheka huko duniani,Sidhani kama hao fobez hawaelewi hiyo kitu, i mean wana watu wao na wanafuatilia...
Za ukoo wenu ziko wapi?Pesa za ukoo...
Mkuu, Mo ana hela kuliko CR7 na Messi kwa pamoja,angalia data ujiridhishe.Kwani Mo na CR7 nani ana hela?
Samatta na diamond nani ana hela?
🤣🤣🤣
Hujui hata wanahesabu vipi!!utajiri aujifichi uko sawa na umasikini fabo wanaposema fulani tajiri wanaagalia pesa alionaya sio magali viwanda na mashamba