Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

Hakuna kitu hicho. Hata kwa akili ya kawaida, bado Mo anaonekana ana utajiri mkubwa kumzidi SSB.
2008 bakhresa alikua na utajiri wa $800m,2012 rostam $1b...utajiri wao hauongezeki tu kwa miaka zaidi ya 10!?.. bakhresa anakusanya si chini ya 20b kwa mwezi kupitia Azam tv,hafiki tu huko aliko mo dewji!?..yule mzee anaficha utajiri wake
 
Hizi takwimu naziona tangu 2008 kwa rostam, bakhresa na mengi..maana yake miaka 14 iliyopita hawajazalisha kitu!
 
Tv hazina faida kiivyo
 
Tv hazina faida kiivyo
Kwa mujibu wa tcra,Azam Ina ving'amuzi hai zaidi laki Saba,Sasa piga hesabu kwa mwezi kila king'amuzi kilipiwe elfu 20 ili waone mpira na ottoman, anakusanya ngapi kwa mwezi?!..piga Mara 12,hapo ana ngano anauza each na sadc,acha vinywaji
 
Hizi takwimu naziona tangu 2008 kwa rostam, bakhresa na mengi..maana yake miaka 14 iliyopita hawajazalisha kitu!
Je katika timeline hio pia MO anandailiko yoyote week data zao hapo ya huo mwaka tufananishe na hizi
 
Kwa mujibu wa tcra,Azam Ina ving'amuzi hai zaidi laki Saba,Sasa piga hesabu kwa mwezi kila king'amuzi kilipiwe elfu 20 ili waone mpira na ottoman, anakusanya ngapi kwa mwezi?!..piga Mara 12,hapo ana ngano anauza each na sadc,acha vinywaji
Makusanyo ni tofauti na faida,
Gharama za kurusha matangazo zikoje
Hufaskia itv na star tv mshahara wakilipwa tarehe 40 kila mara?
 
Makusanyo ni tofauti na faida,
Gharama za kurusha matangazo zikoje
Hufaskia itv na star tv mshahara wakilipwa tarehe 40 kila mara?
Hizo pesa ulizopata toa gharama ya kurusha matangazo,ambapo ndani yake Kuna mishahara,Sasa fanya makusanyo ya mwezi mmoja ndiyo gharama za mwaka,anabaki na Bei gani!?
 
Bilionea wetu wa kwanza alikua rostam,2012, ghafla tukasikia ni mo...mpaka Leo rostam utajiri hauongezeki
Weka data Basi mbona maneno matupu Tajiri kupanda rank sio mpaka utajiri wake huongezeke muda mwengine Ni kushuka kwa utajiri wa aliyepo juu then suala la Tajiri fulani utajiri wake kutongezeka Sasa kosa letu au la huyo tajiri you mean utajiri wa MO usiongezeke kisa Tajiri fulani hauonhezeki....SOUND MORE PRIMITIVE
 
Nimekwambia rostam ndiye bilionea wetu wa kwanza 2012,Kama unataka takwimu katafute nimekupa mwaka
 
Hizo pesa ulizopata toa gharama ya kurusha matangazo,ambapo ndani yake Kuna mishahara,Sasa fanya makusanyo ya mwezi mmoja ndiyo gharama za mwaka,anabaki na Bei gani!?
Ndugu elewa makusanyo sio faida.
Mauzo toa manunuzi= faida
Hii faida inakuwa ikitumika na mmiliki na kingine kinabaki kwenye kampuni kama retained earnings
Sasa malimbikizo ya retained earnings mwaka kwa mwaka ndio yataonesha ongezeko la utajiri
 
Mi nikikuuliza anaingiza Bei gani kwa mwaka,we unaniletea notes ulizokariri chuoni!!
 
Mo ananunua viewers, ooh sorry mo anawaonga Forbes ili wamtaje aweze kukopesheka huko duniani,
NB: don't take me seriously
Nzuri sana hiyo hata mimi nikiweza nafanya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…