Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

Beth tutafutane
 
Kuna muda huwa ninahisi Forbes huwa wanahongwa nao ili wawarushe baadhi ya mastar
Hiyo inawezekana maana hata Diamond alisha waponda,
Hapa kwenye kuendeleza miundombinu nina mashaka na hii award ya Bank ya Africa ya maendeleo
 
Hadithi yetu ya leo inatufundisha nini???
 
Mbali na kuwa Rais, yaan anakuwa wa 94 miongoni mwao wakiwa si marais....?

Waambie waache dharau kwa Raid wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…