Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

Kuna bwawa liĺitengewa 3B mkandarasi àkàmwita engineer wa serikali kwamba lichimbwe kwa 1.8B na hiyo 1.2B inayobaki kuna maelekezo kapewa na mwanasiasa na viongozi wa eneo husika engineer akakataa na kusema hata ilitolewa buku hayupo tayari kusimamia kiukweli engineer yule aliteseka sana uongozi wa gvt ukawa haumtaki wanasiasa hawamtaki ukafanyika mchakato akahamishwa akaletwa mwingine na bwawa likajengwa kwa 1.5B lilikuwa na maji kiduchu siku ya ufunguzi (kuna watu wanadai yaliletwa na bowser) hadi leo kuna nafasi zimejaa hata panya akipata kiu hapati maji mle bwawani.
 
Ha ha ha!
Fundi Maiko utamjua tu!
 
Serikali inajidai haijui hili.
Haya ndiyo yanafanyika katika Force Account.
Halafu keo wanajidai kushituka
 
Sasa ndugu yangu fundi Maiko, umejuaje hela hsitoshi?
 
Shida usimamizi
Kati ya shida kubwa katika viongozi wetu ni usimamizi.
Huwa wengi wanafikiri ukiwa na mkataba basi mkataba unajiendesha wenyewe.
Na hili nalizungumzia ni kwa miradi yote, iwe ya Force Account/Fundi Maiko, au ile ya makandarasi/Consultants.
Viongozi wengi wanapenda kuhudhuria ufunguzi tu wakiwa na mgeni rasmi.
 
Nimeusoma huo na MINGINE mingi
 
Umeonaaee..
 
Force account imejenga miradi mingi sana ya zahanati nchi nzima
Mingi, kama siyo yote, iko chini viwango.
Inbidi ifanywe Technical Audit ya hiyo miradi yote.
Mara nyingi Wizara yenye dhamana ya ujenzi kupitia Bodi yake ya NCC-National Coustrction Council, ndiyo inaweza kufanya kazi hiyo.
 
Halafu mswahili unayemfahamu wewe, pamoja na wewe mwenyewe inabidi muingie utumwani , mtumikishwe mpaka mkome.
Mtoa posti hii mi nakupa uhuru uwe mtumwa wangu ingalau kwa miaka ishirini,
Akili zikiwarudia mrudi vijijini mkalime.
 
Halafu mswahili unayemfahamu wewe, pamoja na wewe mwenyewe inabidi muingie utumwani , mtumikishwe mpaka mkome.
Mtoa posti hii mi nakupa uhuru uwe mtumwa wangu ingalau kwa miaka ishirini,
Akili zikiwarudia mrudi vijijini mkalime.
Miaka 60 SAsa soon jubilee kipi umejikomboa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…