Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Miradi ya FORCE ACCOUNT inatekelezwa na agency mbalimbali za serikaliKawaida yenu kuingiza wanasiasa kwenye miradi ili mpate uhalali wa kupora.
Katibu wa kamati ya Miradi ni Enginee? au siyo.
Una maana wale ma Engineer wa Halmashauri ambao ni clerical engineer?
Kwa taarifa yako hakuna maengineer wanaodharaulika katika fani hii ya ujenzi kama hao clerical engineers wa Halmashauri, wanao endeshwa na madiwani kwa faida ya ulaji.
Inaelekea hata swali langu hukulielewa maana yake.
Kwa hiyo kwenye hiyo Kamati ya Mradi, hawa ma Clerical Engineers wenu wanasajiliwa kama Engineers wa mradi?
Kama ni muelewa wa miradi utalijibu hili kwa ufasaha.
Halafu baada ya hapo tupe majukumu ya rchitect na Design ngineers hapo wanaingiaje.
MAMLAKA ZA MAJI
TARURA
WIZARA
HALMASHAURI ngazi ya Wilaya na NGAZI za chini
REGIONAL SECRETARIATS
ndiyo maana nimekwambia unahitaji kujua vizuri unachoongea!!!!
Kwa sababu unajua ya HALMASHAURI pekee wacha twende huko huko;
Kwa NGAZI ya HALMASHAURI kamati ya Ujenzi Katibu wake ni ENGINEER
Katibu wa kamati ya Manunuzi ni Afisa Manunuzi/Kitengo cha Manunuzi kufanya hii kazi.
Kwa NGAZI za Chini kamati zinaundwa na wataalam wa KITUO husika kwa kuwashirikisha wanajamii na zinakuwa zinaongozwa/kushauriwa na Wataalam wa HALMASHAURI husika....
Ndiyo maana wataalam kama ENGINEER anarakiwa kuwepo kwenye mradi kwenye hatua zote muhimu kama kuseti msingi, kumwaga jamvi, kuseti jengo, kumwaga lenta, kuseti paa n.k
ENGINEER ndiye anawaandalia hati za malipo pamoja na kukata hizo retentions....
Force ACCOUNT haipo tu kwenye Ujenzi wa miundombinu BALI hata kwenye maeneo mengine.
Mfano mwingine wa mradi wa FORCE ACCOUNT ni JENGO LA OR - TAMISEMI lililopo mji wa Serikali MTUMBA DODOMA....
Tuwe na UTAMADUNI WA KUSOMA TUSIKARIRI THEORIES TU!!!!!