STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Tusome kwa umakini mkuu,amesema mambo yakiwa sawa inaweza kuanza kabla ya tarehe 15 JuneThanks Ontario, please tupe updates lini semina ya forex itaanza
Jamii forum ni zaidi ya shule, inaniuma nnaposikia kuna hayawani anataka kuifunga JF, na alaaniwe kila awazaye kuifunga JF na watu wote tuseme AMEN.
Mkuu kweli umeamua kusaidia mungu akusimamie na nina uhakika utafika mbali nakupa miezi sita tu dunia itakutambua.Anahitajika!! Binti kwa ajili ya maulizo (receptionist).
Vigezo:
1. Awe mrembo - sitanii, awe mzuri mwenye muonekano wa kueleweka.
2. Awe multilingual - yani awe na uwezo wa kuongea lugha kadhaa, hasa kingereza. Yani awe vizuri kabisa kwenye hii lugha (kusoma, kuandika na kusikikiza).
3. Awe ana uelewa wa computer, awe anafahamu basics kama word, excel, PP na Internet.
4. Awe motivated.
5. Awe problem solver, awe ana ubunifu, sihitaji sana experience wala elimu. Nahitaji quality ya kazi.
Shughuli:
●Kukaribisha wageni kwa kuzungumza nao
●Kupokea simu za office na kujibu maulizo
●Kutoa maelekezo na utaratibu kwa wageni
●Kupanga appointments kati ya wageni na mentors
●Kupokea na kujibu emails za office.
Mshahara nitaanza na 675,000 kwa mwezi, kama tutaridhishwa na jitihada na ubunifu wake basi baada ya miezi mi3 tutaweka long term contract ambayo itakuja na ongezeko na mshahara na incentives zingine
Kama una vigezo niPM, nitajibu week ijayo tarehe 6.
Ni kweli kabisa mkuu. Muhimu hapa ni kusoma na kuvielewa vitabu... Hasa dummies imenitoa tongotongo kias kikubwaWatu naona wanadhani kwamba inahitajika uwe na knowledge ya FOREX ama finance katika kuingia katika huu mtanange maana wengi wananiuliza haya mambo katika PM. My friends, Mimi mwenyewe binafsi sina background yoyote na issue za uchumi, Niliachanaga na mambo hayo ya uchumi na biashara miaka kadhaa iliyopita toka Ben Mkapa akiwa raisi. But kitu chochote kile duniani kinaenda na mafanikio yake yanakuja kwa dhamira na nia ya dhati kufanya hicho kitu.
Na siri moja katika hili, Msituone tunajibujibu viconcept hapa mkadhani sisi tunaelewa haraka sana. la hasha, Mimi binafsi narudiaridia page hata mara tano kabla sijaendelea page inayofuata. Na hata nikimaliza chapter nikafika mbele, Bado nikijiona nimesahau sioni shida kurudia. Hiki kitu hakiepukiki katika hili jambo. Na usijione kuwa wewe huwezi elewa, jaribu kurudiarudia tena na tena. with time nina uhakika utamaster tuu concept. Ukishindwa kuelewa mwenyewe, post hapa jukwaani, wadau watakusaidia kukujibu na kukuelewesha
Na hili nddo maana huwa kuna mazoezi katika kila jambo. si mpira, si uvumbuzi wa kisayansi nk. hivi vitu hatujavivumbua sisi, so no way tutavimaster in single glance.
tuendelee na kazi.