Anahitajika!! Binti kwa ajili ya maulizo (receptionist).
Vigezo:
1. Awe mrembo - sitanii, awe mzuri mwenye muonekano wa kueleweka.
2. Awe multilingual - yani awe na uwezo wa kuongea lugha kadhaa, hasa kingereza. Yani awe vizuri kabisa kwenye hii lugha (kusoma, kuandika na kusikikiza).
3. Awe ana uelewa wa computer, awe anafahamu basics kama word, excel, PP na Internet.
4. Awe motivated.
5. Awe problem solver, awe ana ubunifu, sihitaji sana experience wala elimu. Nahitaji quality ya kazi.
Shughuli:
●Kukaribisha wageni kwa kuzungumza nao
●Kupokea simu za office na kujibu maulizo
●Kutoa maelekezo na utaratibu kwa wageni
●Kupanga appointments kati ya wageni na mentors
●Kupokea na kujibu emails za office.
Mshahara nitaanza na 675,000 kwa mwezi, kama tutaridhishwa na jitihada na ubunifu wake basi baada ya miezi mi3 tutaweka long term contract ambayo itakuja na ongezeko na mshahara na incentives zingine
Kama una vigezo niPM, nitajibu week ijayo tarehe 6.