joshua siao
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 174
- 100
Hii kitu bado inanichanganya kidogo, hivi unaweza kupata faida kwa ku buy pair currency pekee na utaipataje? ama ni mpaka u sell ndio uione profit?in real Scenario, katika soko halisi, Buy ni kwenda Long na Sell ni kwenda short.
Unanunua then ikipanda bei au thamani unauza!! Hapo ndio unapata faida! Ukinunua ukiuza ikiwa imeshuka thaman hiyo loss!Hii kitu bado inanichanganya kidogo, hivi unaweza kupata faida kwa ku buy pair currency pekee na utaipataje? ama ni mpaka u sell ndio uione profit?
Mkuu labda niseme wewe ndio una pupa, maana umeshindwa kutambua kua asilimia 99 ya wachangiaji bado ni infants yani wanajifunza. Ukiwa mwalimu, kisha mwanafunzi wako analeta homework 1+1=11, hauwezi ukasema kua hawezi kufanikiwa kwa kosa ambalo ni very obvious kwa mwanafunzi.Observation yangu ni kwamba asilimia 99 hapa hawatafanikiwa. Na sababu ni moja tu kukosa umakini katika maamuzi na kukurupuka kufanya major decisions. There is money inForex but you have to be ready to stretch your brain to earn it. Sio pata potea tu... Watu wapo na ile illusion ya kupiga pesa ndefu tu they don't care much about mchakato. Kuna watu wakakimbilia kufungua accounts za dummy haraka haraka. Mwingine anasema haelewi elewi yaani kajikuta ana dola 50000 kwenye demo. Sasa mtu kama huyu akiweka hela si ataliwa kirahisi tu maana anaingia kwa kubahatisha. Asilimia 99 hapa watacheza hii kama kamari hapo ndo watalia badala ya kujifunza nini cha kufanya..
Observation yangu ni kwamba asilimia 99 hapa hawatafanikiwa. Na sababu ni moja tu kukosa umakini katika maamuzi na kukurupuka kufanya major decisions. There is money inForex but you have to be ready to stretch your brain to earn it. Sio pata potea tu... Watu wapo na ile illusion ya kupiga pesa ndefu tu they don't care much about mchakato. Kuna watu wakakimbilia kufungua accounts za dummy haraka haraka. Mwingine anasema haelewi elewi yaani kajikuta ana dola 50000 kwenye demo. Sasa mtu kama huyu akiweka hela si ataliwa kirahisi tu maana anaingia kwa kubahatisha. Asilimia 99 hapa watacheza hii kama kamari hapo ndo watalia badala ya kujifunza nini cha kufanya..
Nashukuru. Broker gani unamtumia??
Haya all the best na harakati zako. Wewe unajua kila kitu sisi viazi ngoja tunyamaze tukuache wewe mwenye akili kutuzidi uongee.Mkuu labda niseme wewe ndio una pupa, maana umeshindwa kutambua kua asilimia 99 ya wachangiaji bado ni infants yani wanajifunza. Ukiwa mwalimu, kisha mwanafunzi wako analeta homework 1+1=11, hauwezi ukasema kua hawezi kufanikiwa kwa kosa ambalo ni very obvious kwa mwanafunzi.
Mimi kwasababu nimepita wanapopita 99% ya wachangiaji, naeza sema most of these guys will turn into profitable traders. Naamini wakimaliza vitabu, then wakaja training, then tukaanza kutrade live sidhani kama msemo wako wa 'asilimia 99 hawatafanikiwa' utakua na uhalisia. Wapo stage ya awali kabisa, hakuna mtu aliyeweza kuwa profitable trader kwa trade yake ya kwanza tena bila mentor - hata wall street huyo mtu hayupo.
Ndio forex si rahisi, but you only need 2 things 1. Right information 2. Right mentors.
Tuwape muda boss.
Hii pair ya GBP/JPY ni noma sana, Almanusura niichome trial account yangu.
CC: Ontario
Usisahau kuweka na fundamental analysis kwenye trade zako..
Uingereza wanaingia kwenye uchaguzi kesho kutwa..
Sikashakwambia yeye ni foreigner namba moja from rwanda? Sasa unashanagaa nini hizo R R R..asee fanyia kazi spelling, na kiswahili pia jua kutofautisha L na R katika maneno
ndo afanyie kazi hususan icho kiingerezaSikashakwambia yeye ni foreigner namba moja from rwanda? Sasa unashanagaa nini hizo R R R..
Bro kama unakwenda mbali vile. Challenges hazikosekani kwenye jambo lolote lile, hapo mmetofautiana mitazamo tu maana everybody perceive things from own perspective. Binafsi nimependa conclusion yake "Tuwape Muda".Haya all the best na harakati zako. Wewe unajua kila kitu sisi viazi ngoja tunyamaze tukuache wewe mwenye akili kutuzidi uongee.
Mkuu hebu tupe links/accounts ambazo unaweza kukusanya kwa urahisi taarifa fundamentals zinazohusiana na forex.