Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ki uhalisia nikikua na operate zote kulingana na nature ya graphs!! Kama ukiona fresh utaona kuna nlikua na sell na kuna saa nlikua na buy! All in all it depends!!
 
Je ni kweli mentor wako anaweza kukujenga kisaikolojia unapokuwa umepoteza? And je broker wako anaruhusiwa kukopa funds unapokuwa na balance ndogo wakati wa kufanya trade msaada wa swali langu wanajamvi.

Kuwa na mentor ni sawa na mama ako anapokushika mkono unapojaribu kusimama na kuanza kutembea.. Kwahiyo, yeye anakuongoza kwenye kila kitu kwenye forex.

Broker hawezi kufanya hiyo biashara ya kukukopesha hela hata siku moja..
 
Ki uhalisia nikikua na operate zote kulingana na nature ya graphs!! Kama ukiona fresh utaona kuna nlikua na sell na kuna saa nlikua na buy! All in all it depends!!
Why ain't u answerin' my qn boss....??
 
hongera mkuu, umeongeza depth ya thread
 
baada ya kupitia page ya 1 hadi ya 115 usiku huu haya ndio maoni yangu yanafanana na mdau mmoja humu.

mkuu ontario baada ya kushusha idadi ya watu kutoka 300 hadi 150,
kwa kuzingatia pia hamasa ya watu wengi, changamoto ni nani atakuwa kwenye hao 150.
kama watu watakuwa wengi kuliko kiwango kinachohitajika.
Unaweza kuandaa mtihani mwepesi based on kitabu ulichokipendekeza...
watakao fanya vizuri unawapa kipaumbele huku ambao watabaki nyuma watakuwa batch ya pili japo sijui utatumia methodology gani.

all in all big up wakuu wote humu Bavaria etc mnafanya kazi kubwa kutuondoa ujinga na kutujengea ujasiri wa kutafuta fursa za duniani.

Wadau taadhari zinazotolewa pia zizingatiwe
 
Umeonaa eehh. Mi nlishauri mkuu atuandalie quiz a day before training
Pia ONTARIO kama itawezekana utupe update even three or four days before the event to start ili wamikoani tujisogeze apo kati..
 
This is the best idea I can't wait for the commencement date , I am subscribing to this thread and remain hopeful to get updates on the same ,thank you very much for imparting this new idea to people , welcome brother
 
Yesuuu!!!!
150 tena? Aah matumaini yangu Kwisha nimekuwa na matumaini ya kufa mtu ila kwa hapo mhhhh
Any way kila la heri watakao chaguliwa tukutane kwa update baada ya miaka 2 najua mtakuwa watu wengine
 
Je ni kweli mentor wako anaweza kukujenga kisaikolojia unapokuwa umepoteza? And je broker wako anaruhusiwa kukopa funds unapokuwa na balance ndogo wakati wa kufanya trade msaada wa swali langu wanajamvi.
Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.

So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwa Hii ni jana 06/06/2017 nikiweka 958 nikagonga km 320, saa 7 mchana tu nimefunga ofisi, nina uhakika wa wese la mwezi mzm.

Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni unit fulani inayokuwezesha kutrade pesa kiasi kikubwa cha pesa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1. Mfano, kwenye hiyo screen shot km ningetembea na lot size ya 0.2 basi ningeweza kuwa na faida ya $1000 in less than 3 hours.

Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa
 
habari ndugu. nimeanza kutumia demo account ya trading212 (broker) na nimeweza kugain vitu kidogo na hivi majuzi gold ilipopanda nimeweza kutengeneza 1500 usd (demo profit)
pia AUD/USD imepanda hivyo nikijumlisha position zote nilizofungua nimetengeneza nearly 2000 usd demo profit

natambua kuwa forex trade ni speculations, ila naomba nisaidie kujua zaidi kuhusu buy/sell trailing stops na jinsi zinavyoweza kutumika kutengeneza profit bila kuingia hasara ya kupoteza mtaji wote.

pia naomba kujua how long should one keep an open position for maximum profit.

lastly, ningependa utapoanza business unifanyie mentoring (subject to your own terms)

nawasilisha.
 
Mkuu. Unatumia EA?
 

Trailing stops, ni stop loss zinazohamishwa ili kukusaidia usipate hasara zaidi.

Mfano. Unaweka trailing stop kila baada ya pips 20.

Tuchukulie mfano. Unaweka order yako kwenye 0, take profit baada ya pips 100, stop loss itakaa -20.
Order yako ikifika pips 20., ile stop loss inahama toka -20 hadi pale 0 ulipoweka order yako. Hapo tayari umesha-break even. Hata trade ikirudi, inarudi hadi kwenye 0 na sio -20.
Trade ikifika 40 pips, stop loss yako inasogea hadi 20. Hivyohivyo hadi unapofikisha pips zako 100.
 

The same to take profit levels.

Una lock take profits kila baada ya pips kadhaa unazktaka..
 

Ila kama ukiweka vizuri SL na TP zako, account yako sidhani kama itatikisika kihivyo..
 
asante kwa ufafanuzi japo broker nnayemtumia kwenye demo account yangu anatumia currency instead of pips kuonyesha trailing stop. (forgive my ignorance) so sijakupata kikamilifu ila nashukuru.

can you recommend a good broker for an amateur like me?
 
Ila kama ukiweka vizuri SL na TP zako, account yako sidhani kama itatikisika kihivyo..
muda mwingine SL huwa inaanzia mbali sana for eg inaweza anzia -20usd, why does this happen mate?

nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…