Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Ki uhalisia nikikua na operate zote kulingana na nature ya graphs!! Kama ukiona fresh utaona kuna nlikua na sell na kuna saa nlikua na buy! All in all it depends!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tickmill ni fx brokers...wako UK!
Ni kama xm...robofx and the a like ...
Je ni kweli mentor wako anaweza kukujenga kisaikolojia unapokuwa umepoteza? And je broker wako anaruhusiwa kukopa funds unapokuwa na balance ndogo wakati wa kufanya trade msaada wa swali langu wanajamvi.
Why ain't u answerin' my qn boss....??Ki uhalisia nikikua na operate zote kulingana na nature ya graphs!! Kama ukiona fresh utaona kuna nlikua na sell na kuna saa nlikua na buy! All in all it depends!!
hongera mkuu, umeongeza depth ya threadHiyo niliyotuma inaitwa detailed report. Kwa wale wanaofanya trade wanaifahamu. Inakuwa extracted kutoka kwenye account yako ya trade. Kama inavyoonyesha nilianza na 5000 usd na ndani ya muda mfupi nikapata faida ya 19,000 usd. Lengo la kuwaonyesha hii ni kutaka kuwathibitishia kuwa jamaa hajawadanganya. Details zingine sikuchukua picha yake kwa sababu ita-reveal my true Identity. All the best guys
Umeonaa eehh. Mi nlishauri mkuu atuandalie quiz a day before trainingbaada ya kupitia page ya 1 hadi ya 115 usiku huu haya ndio maoni yangu yanafanana na mdau mmoja humu.
mkuu ontario baada ya kushusha idadi ya watu kutoka 300 hadi 150,
kwa kuzingatia pia hamasa ya watu wengi, changamoto ni nani atakuwa kwenye hao 150.
kama watu watakuwa wengi kuliko kiwango kinachohitajika.
Unaweza kuandaa mtihani mwepesi based on kitabu ulichokipendekeza...
watakao fanya vizuri unawapa kipaumbele huku ambao watabaki nyuma watakuwa batch ya pili japo sijui utatumia methodology gani.
all in all big up wakuu wote humu Bavaria etc mnafanya kazi kubwa kutuondoa ujinga na kutujengea ujasiri wa kutafuta fursa za duniani.
Wadau taadhari zinazotolewa pia zizingatiwe
Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.Je ni kweli mentor wako anaweza kukujenga kisaikolojia unapokuwa umepoteza? And je broker wako anaruhusiwa kukopa funds unapokuwa na balance ndogo wakati wa kufanya trade msaada wa swali langu wanajamvi.
habari ndugu. nimeanza kutumia demo account ya trading212 (broker) na nimeweza kugain vitu kidogo na hivi majuzi gold ilipopanda nimeweza kutengeneza 1500 usd (demo profit)Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.
So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwa![]()
Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni kiasi unaweza kutrade pesa kubwa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1.
Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa
Mkuu. Unatumia EA?Psychology ni kitu muhimu zaidi ktk forex, tamaa, pupa, overconfidence na hofu havijawahi kumwacha mtu salama katika forex. Kitu ambacho mentor wako atakusaidia ni kukupa hints kuhusu jinsi ya kujicontrol kisaikolojia. Mfn wiki iliyopita yote nilikua busy sana lkn bado nikawa ninatrade, nikaongea na mentor wangu akanishauri nisifanye tena huo ujing@, ni vzr mtu atrade akiwa ameconcentrate kwa zaidi ya asilimia 99.
So, alichonishauri alinambia "Ontario km hauwezi kukaa bila kutrade, basi cha kufanya usitumia account yako kubwa, fungua account nyingine, amisha pesa kidg kwenye hiyo account ndogo kisha utrade huko, hata kama nikifanya makosa basi nitakua nimepoteza pesa ndogo. J3 nikafungua account nikaeka kama mil 2 Tsh, jana nikaanza kuitrade, percent ya nikichokipata ni tofauti kbs na ile ambayo nilikua napata nikiwa na account kubwaHii ni jana 06/06/2017 nikiweka 958 nikagonga km 320, saa 7 mchana tu nimefunga ofisi, nina uhakika wa wese la mwezi mzm.![]()
Swali la 2: nimeona watu wengi wakisema broker anakopesa... hicho kitu hakipo!! Broker akukopeshe kwa misingi ipi?! Kinachotokea ni kwamba kuna kitu kinaitwa leverage, au tuseme lot size - yani hiki ni unit fulani inayokuwezesha kutrade pesa kiasi kikubwa cha pesa hata kama account yako ina pesa ndogo. Kadri unavyotumia lot size kubwa ndio faida/hasara inakua kubwa zaidi. Mimi natua standard account kwa lot ambayo haizidi 1. Mfano, kwenye hiyo screen shot km ningetembea na lot size ya 0.2 basi ningeweza kuwa na faida ya $1000 in less than 3 hours.
Hii elimu ni rahisi sana kama upo na mtu anayekuongoza, unamuona anavyoelezea nk... But all in all forex ni kitu fulani hivi kitamu sana ukiwa unaelewa
habari ndugu. nimeanza kutumia demo account ya trading212 (broker) na nimeweza kugain vitu kidogo na hivi majuzi gold ilipopanda nimeweza kutengeneza 1500 usd (demo profit)
pia AUD/USD imepanda hivyo nikijumlisha position zote nilizofungua nimetengeneza nearly 2000 usd demo profit
natambua kuwa forex trade ni speculations, ila naomba nisaidie kujua zaidi kuhusu buy/sell trailing stops na jinsi zinavyoweza kutumika kutengeneza profit bila kuingia hasara ya kupoteza mtaji wote.
pia naomba kujua how long should one keep an open position for maximum profit.
lastly, ningependa utapoanza business unifanyie mentoring (subject to your own terms)
nawasilisha.
Nlivyoona hizo order zilivyo nyingi nilidhani EA.Hiyo ni petroli ya kuunguza account, naanzaje hata kuisogelea?

asante kwa ufafanuzi japo broker nnayemtumia kwenye demo account yangu anatumia currency instead of pips kuonyesha trailing stop. (forgive my ignorance) so sijakupata kikamilifu ila nashukuru.Trailing stops, ni stop loss zinazohamishwa ili kukusaidia usipate hasara zaidi.
Mfano. Unaweka trailing stop kila baada ya pips 20.
Tuchukulie mfano. Unaweka order yako kwenye 0, take profit baada ya pips 100, stop loss itakaa -20.
Order yako ikifika pips 20., ile stop loss inahama toka -20 hadi pale 0 ulipoweka order yako. Hapo tayari umesha-break even. Hata trade ikirudi, inarudi hadi kwenye 0 na sio -20.
Trade ikifika 40 pips, stop loss yako inasogea hadi 20. Hivyohivyo hadi unapofikisha pips zako 100.
Vizuri mkuu.That's our strategy, na kuna sababu ya kufanya hivi. Naeza fungua ht positions 50 kwa pair 1 kwa lot size za sisimizi.
muda mwingine SL huwa inaanzia mbali sana for eg inaweza anzia -20usd, why does this happen mate?Ila kama ukiweka vizuri SL na TP zako, account yako sidhani kama itatikisika kihivyo..