Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nadhani Leo nmekutana na ONTARIO maeneo ya PPf Tower..
We nae hata kuniongelesha...?!

Muda wote nipo pale namsubiri yule afisa wa CMSA wewe umejikausha, tumeshuka wote lift umejikausha tu, nimefika chini naenda parking ukanitoroka boss, ungekua unaenda BoT tungeenda wote, au ht ungepata company yangu uone ninavyotrade na simu [emoji23] . Nilikuona unavyonipiga jicho la hapa na pale, lkn nikajisemea nisikurupuke..
 
Mkuu Ontario ninashukuru kwa haya maarifa uliyotupa, ninaomba na mimi niwepo katika kundi la watu 300 watakaopata mafunzo.
 
We jamaa hauhitaji kuwa ghost tena km unavyoji ghost hapa JF, nw fanya watu tukufahamu ili kuepusha upacha maana kuna watu watatumia chance ya ww kuwa ghost en wakajifanya wao ndio wewe.
 
Hahaaa ngoja nikusake BoT
 
mkuu broker yupi mzuri kwa demo account
 
May be was first time meet, au muonekano wako ONTARIO kama cereb flani ivi.
 

Ka tuisheni kadogo, wengine watanisahihisha in a point of mistake,

Buy/Sell = Long/Short

If you want to buy the base currency and sell the quoted currency, this means that you are expecting the base currency to rise so as to sell it back at higher price. Long position

If you want to sell the base currency for buying a quoted currency, means that you want the base currency to fall in price so as to buy it at low price. Short Position

Let’s assume that the EUR/USD 1.3088 /1.3090. Based on some technical analysis you have assumed that the euro is going to rise in value. That is why you make a decision to buy 10,000 EUR (0.1 lot) at 1.3090 (the ask price). So, you bought 10,000 EUR and paid 13,090 US Dollars for that.
 
Duuh hii kitu ipo vizuri aisee. Tulikuwa tukiisoma tu chuoni Ila sikuwahi kujua kama ipo applicable. Asante sna mkuu kwa kunifungua kichwa
 
Thanks mkuu, i do understand this whole thing theoretically as you broached above, but the real part i failed to understand is when it comes in practice, you knw when i look at that screen shoot, i rl cn't grasp anythng thr, could u plz analyze it systematically.........??
 


Kama unaelewa jinsi ya kusoma hizi Base Currency and Quoted currency, kinachobaki ni decision whether u buy or sell. So hapo ni lazima uwe umefanya analysis ambayo itakupa confort kuwa sometimes in a future time, either base currency of quoted one will rise in price. Hapo ndio utafanya maamuzi ya kuuza ama kununua.
 
Dah! Yan io ilikua golden chance jamaa kaiacha.. mkuu ingekua ni mimi ningekuganda kama ulivyomganda Mike ulivyoenda kukutana nae mara ya pili SA
 
I can't recommend exactly.

Ila page ya 113/114 nimeweka list ya baadhi ya brokers ambao nawaona kidogo wapo legit.

Jaribu mmoja wao..

Boss hii trailing inaendelea kuwa active hata nikiwa offline mf nimeweka order yenye trail kisha nika shut down device?.
 

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ daa jamaa kachezea bahati, ningekuwa mimi ningekuvizia unipe hata kamkono ka baraka.πŸ˜€
 
Duuuuuuuuuuh i wish i cud be mimi ningemg'ang'ania mpaka kieleweke
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…